Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,903
- 32,312
Muanzisha hii thread pamoja na Pro-CDM wenzake wameamua kujiliwaza na kujifariji kwa maneno yao eti CDM yalegeza masharti! sijaona sehemu yoyote hapa hayo masharti yaliolegezwa, Naibu meya wa CDM kasema anataka uthibitisho kama wao wamechukuwa rushwa kutoka CCM, kama watakosa uthibitisho inabidi Dr Slaa aitishe mkutano na vyombo vya habari asema naomba msamaha madiwani wa Arusha.Sasa hizi porojo za kulegeza masharti sijui zimetoka wapi