Sakata la madini: CCM kama chama hakina kosa

Na akina Lowasa walikuwa chama gani Wakati wa mikataba hiyo? Jibu swali nyumbu!
Afungiwe jiwe na kutoswa baharini pamoja na wabunge wote waliosema ndiyoooooo, pamoja na baraza zima la mawaziri na Mkapa na Kikwete wakiwemo
 
Njooni mumchukue Lowassa, Sumaye muwapeleke mahakamani na wauliwe kwa ushetani huu

Wawe pamoja na wa sema ndiyoooooo ambao walipitisha sheria mbovu na ya kishetani na marais wa wakati huu mchanga unapita kuanzia Mkapa hadi Kikwete

Pia usisahau Pinda na wakuu wote wa Wilaya na mkoa ambapo mchanga ulipita
 
Yaani mleta mada wewe na Bashite hamna utofauti...
Kuku aliyetuletea mayai viza tunamjua..
Ni ubashite uliopindukia kulaumu mayai..! Tukubaliane tu kuku wetu hafai..!
 
Aliekutuma mwambie tume msikia.
Lakini adhabu ccm inawahusu.
 
Dah kama ccm haiusiki basi na kabila haliusiki kwani kabila ndo lilisaini huyo mikataba acha ukabila
Sio tu kabila hata mtu mwenyewe hahusiki maana iliyosaini mkataba ni kalamu.
No by the way hata kalamu haihusiki maana iliyosaini mkataba ni wino.

No hata wino hauhusiki bali aliyetengeneza wino ndo kasababisha.

Hivi ndivyo mleta mada anahitaji tuamini
 
Nadhani wewe ndiye utumbo tena ule wa nguruwe ambao ukilazimisha kuula ni lazima unapata minyoo isiyopona. Unaweza je kutenganisha hicho chama chako na BMW na kj2?How can you? Ameapa kuwalinda kwa nguvu zake zote tena kuliko anavyomlinda bash it. Tafuta gia nyingine ndugu hapo umechemsha
 
Hahahhaaa matusi dah!, doze imekuingia haswa. Soma mara ya pili utaelewa. Ukiambiwa ukawakamate wahusika utamkamata nani??, huyo anaeitwa CCM utamtoa wapi??, msipoteza target, wezi tunaishi nao majumbani mwetu alafu tunafukuza nembo ya taifa.

Badilika Muraa!!
 
Hahahaaa matusi ya nini tena??, tulia tu tunakazi kweli kuwalinda wagonjwa kama wewe.
Katika malengo niliyoyang'amua kwenye mwandiko wako ni pamoja na kutaka kutenganisha CCM na uhalifu wa madini. Unapoandika chama hakihusiki sababu hakipumui na wala huwezi kukiona kwa macho hadi useme ni hiki au kile paleee...ujue kabisa unajifuta mdomo kwa mchanga wakati tumekuona unadokoa nyama kwenye chungu mchana kweupee!
Hivi ukianza kujiuliza:Ili chama cha siasa kiitwe chama kiwe na muunganiko wa vitu au mambo gani? Hapo ni lazima kuwe na watu, lengo (muongozo /katiba, ofisi na vitendea kazi. Hapo ni kwa ufupi. Kinapokosekana kimoja kati ya hivyo kutakuwa na uwalakini wa chama tajwa.
Unapotaka kuwaepusha, kuwaengua au kutowahusanisha CCM na madhila yaliyoipata Tanzania (tunazungumzia madini na mikataba yake) ni kujipiga chenga mwenyewe!
Mikataba walisaini /kuingia wao wakiwa ndiyo wenye mamlaka (jumlisha na watendaji serikalini) sasa utawatoaje katika makosa yao wenyewe waliyoyaumba kwa mikono yao? Unataka tulumbane na ofisi, vitendea kazi na katiba yao na watu hasa waliyotumia ofisi, vitendea kazi na kwa kuendana na katiba yao wasibebe lawama? Tafakari na usipotoshe iliyo kweli.
 
Kapiga kwa karamagi kaona ni mnyonge,akaja akapiga kwa MAMVI kwavile kaona yuko upinzani naona akawa anawaza je arushe jiwe na waliokula ndama wenyewe kaona du hata kama Ana fake ID watamfukunyua tu akaanza kumalizia kwa kuandika madudu madudu. yani heading ya post haiendani na content... ( nimeogopa ban ningekushushia dude LA mi2c hapa)
 
huna mpya mzeee nduli mkubwa wa taifa hili ni dude liitwalo ccm mungu alitokomeze baharini amina .miaka 55 ya.utawala wao waTanzania hawana walilopata zaidi ya wizi, ujambazi,ukame, tetemeko, utapia mlo,rushwa, mauwaji ,njaa,utapeli,mafuriko,kipindupindu,ni majanga tu
 
hukuna ugojwa mbaya duniani kama uccm
 
mzee ccm wote ni wahalifu pamoja na system yao
 
hukuna ugojwa mbaya duniani kama uccm
Kwa fikra kama hizi hatufika hata tupewa miaka 1000. Hivi maji yakiwa machafu kwenye glasi utamwaga maji au unapaua glasi??,

Jibu unalo!
 
KAKA UNAJARIBU KUTETEA WAUZAJI WA NCHI UNATETEA KWELI???????LAANA KUBWA SANA HIII........NI MATOPE KAMA SIO AKILI HIII....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…