Kwa english yangu ndogo nilidhani scapegoat ni yule anae pelekwa mbele
kwa kuficha kundi/sababu kubwa zaidi ambalo liko nyuma.
Hili neno limetumika sawa hapa kweli? naomba mnifafanulie plz.
Mkuu,
Nafikiri kujitoa kwako kungekuwa ni kwa mapana zaidi kwa kuanza kwa wewe kwenda Tanzania (tena uwahi ndege ya leo) ufike pale kituo cha polisi na ufanikishe ili huyu binti apewe dhamana yenye masharti nafuu.
Akiwa nje (on police bail) wewe uanze kuandaa utetezi na hivyo utakuwa umejitolea kweli.
NB: police bail inaweza kuja na condition kwamba lulu awe ana-report pale kituoni kila asubuhi.
Unataka kukafanya nini katoto ka watu? bado hakajakua!
duh ama kweli..., kazi ipo
Lakini ukweli ni kwamba huyu binti sasa anakuwa treated kama a cold blood killer au serial killer.., lakini huenda ni bahati mbaya
Kwakeli huyu binti kwa sasa anahitaji mtu wa kuongea nae na kumfariji (she has witnessed in a day what some of us will never witness in our lifetime) kwahio wanajamvi I beg of you lets cut the girl some slack
Hata mimi naona ashauriwe na asinyanyaswe,apewe ushirikiano,
umsaidie au upate chance ya kumt*m*a?stupid opportunist
We unamtaka mbunye yake tu, huna lolote, angekua dume hata usingeanzisha uzi huu.
Vipi ulikuwa unatafuta mchumba?kweli mkuu Mtu hana taaluma ya udakitari, wala maiti hajaiona, yet ripoti ya post-mortem haijatoka bado, afu anadai Lulu kaua.
Tuombe Mungu madakitari, polisi na wapelelezi wawe fair katika uchunguzi wao.
Lulu is too delicate to kill a human being, sijui kama ana ujasiri hata wa kuchinja kuku yule, na ndio mana najipanga kuja dsm any time for that, wanafamilia wanajadili ili niweze jua nitasaidia vipi
Uko sahihi lakini kama anashtakiwa kwa manslaughter (mauaji ya bila kukusudia kama Ditopile) na sio Murder (kuua kwa kukusudia). Itachukua muda kidogo kuamua which is which between the two sio siku moja ama mwezi mmoja kama unavyodhani. refer Ditopile case
Halafu kwa uzito huo huo imagine kwamba wewe ndio Mama/Baba/Mtoto or with close Family ties na Kanumba ungejisikiaje? Na wewe usipost hapa kama huna Elimu ya ufahamu.kuna watu sijui mnawazia kwa kutumia sijui nin?hebu fikiri kama angekuwa mtoto wa nduguyo afu kule omba MUNGU usifike,ukifika utakumbuka ***** unaoposti hapa kama huna elimu ya sheria kaa kimya ...
Hata mi ningekuwa uwezo ningemsaidia
Simpendi lulu ni mtoto mdogo asiyekuwa na chembe ya heshima simuonei huruma...amemsumbua sana mama yake mzazi,acha azeekee huko jela ametumika vya kutosha hakika asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na walimwengu.
niwieni radhi wana jf. Nakiri kuwa sifuatiliagi sana vibweka vya mastaa wa bongo but this one is a matter of public interest. Naomba anayemjua huyo lulu atumwagie jamvini wasifu wake (na picha if possible) na uhusiano wake na hayati kanumba.
Nawasilisha.
niwieni radhi wana jf. Nakiri kuwa sifuatiliagi sana vibweka vya mastaa wa bongo but this one is a matter of public interest. Naomba anayemjua huyo lulu atumwagie jamvini wasifu wake (na picha if possible) na uhusiano wake na hayati kanumba.
Nawasilisha.[/quo
NENDA GOOGLE ANDIKA LULU UTAZIONA PICHAZAKE NYINGI2
Na mama yake Kanumba apewe sapoti na nani? Huu sio wakati wa kuegemea popote cha muhimu haki itendeke.kweli ndugu tumpe support dogo maana kweli tumepoteza ya mwenyezi yaheshimiwe na msaada kwa huyu aliyeangukia mikono ya dola tuangalie vile tunaweza tumsaidie apate haki yake ile ilimpasa kupata.