Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

It means not its mean
Her\his mom not its mom
Murder not muder
 
Wasichana wadogo wanapenda kumeza mizigo mikubwa.... Loh!!
 
mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady
 
mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in south africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha kanumba hapa jf na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo lulu kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kunipm! Am ready to help this little lady

too late...subiri uchunguzi utaisha after 3years....we fed up of her!!
 
mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady

Picha imeshakuchanganya mkuu. Pole kwa mfazaiko wa mwili.
 
mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady

Mkuu,

Nafikiri kujitoa kwako kungekuwa ni kwa mapana zaidi kwa kuanza kwa wewe kwenda Tanzania (tena uwahi ndege ya leo) ufike pale kituo cha polisi na ufanikishe ili huyu binti apewe dhamana yenye masharti nafuu.

Akiwa nje (on police bail) wewe uanze kuandaa utetezi na hivyo utakuwa umejitolea kweli.

NB: police bail inaweza kuja na condition kwamba lulu awe ana-report pale kituoni kila asubuhi.
 
Kwani umesikia atashtakiwa? Hawa wapenzi bwana hata Lulu anauchungu mumewe kafa. Kosa lake lipi Marehemu ndo mwenye kosa kwanini unyang'anye cm ya mpenzi wako tena c mkeo wa ndoa. Lulu hakua na tofauti na machangu wengine ukimaliza biashara unaenda kwingine. So what.
 
mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady

msaidie bana,mayb hakukusudia,she is a human being!
 
Simpendi lulu ni mtoto mdogo asiyekuwa na chembe ya heshima simuonei huruma...amemsumbua sana mama yake mzazi,acha azeekee huko jela ametumika vya kutosha hakika asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na walimwengu.
 
mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady
unatueleza sisi ili tukusaidie nini?
 
Naona unatafuta loop hole ili uweze kumrithi Hayati Kanumba. Chezeiya Lulu wewe, atakuR.I.P nawewe alah!
 
Niwieni radhi wana JF. Nakiri kuwa sifuatiliagi sana vibweka vya mastaa wa bongo but this one is a matter of public interest. Naomba anayemjua huyo Lulu atumwagie jamvini wasifu wake (na picha if possible) na uhusiano wake na Hayati Kanumba.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom