Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

Majamba Jr

Member
Apr 3, 2012
41
12
Kuna tetesi kuwa kifo cha Kanumba kimetokana na Kusukumwa na LuLu wakiwa wanagombana nyumbani kwa Kanumba. Wawili hawa walikuwa wapenzi.

Katika ugomvi huo LuLu alimsukuma Kanumba na Kanumba alipiga kichwa chini jambo lililopelekea Kanumba Kupoteza Maisha.

Now if proved that LuLu caused the death in relation to above story, what does the Law provide?
 
Mimi sijasoma law nimesomea vitu vingine,lakini watu wa law pia nao waje watusaidie sheria inasemaje unapodate na msichana alie chini ya mika 18 hata kama hasomi shule au hata kama umemuokota ohio street
 
ni kifo ambacho hakijakusudiwa! Ila itachukua muda mrefu kuja kuthibitika. Lulu atasota sana mahabusu coz hii kesi ni ya mauaji.
 
Kama ni hivyo luku atakaa gerezan kwa mda kwa kusabisha kifo bila kukusudia then anaweza kufugwa ila siyo maisha au kuachiwa huru. Poleni sana ndugu na marafiki wa nanumba
 
Kuna tetesi kuwa kifo cha Kanumba kimetokana na Kusukumwa na LuLu wakiwa wanagombana nyumbani kwa Kanumba. Wawili hawa walikuwa wapenzi. Katika ugomvi huo LuLu alimsukuma Kanumba na Kanumba alipiga kichwa chini jambo lililopelekea Kanumba Kupoteza Maisha. Now if proved that LuLu caused the death in relation to above story,what does the Law provide?

Manslaughter and not murder kama sikosei.
 
manslaughter ni nini?@ChuaKachara

Katika sheria, ni kuua bila kukusudia. No intent to kill, adhabu yake ni laini kidogo sio kama murder ambayo ina-contain intent to kill- kuua kwa kukusudia ambayo adhabu yake ni kunyongwa mpaka kufa kwa sheria ya jinai hapa tanzania
 
Kuua bila kukusudia maana yake ni nini? Naomba majibu waungwana.

Ni kuua kwa bahati mbaya au inategemea na tukio lenyewe lakini mtuhumiwa hakuwa anakusudia kumuua. kwa mfano lulu hakuwa amekusudia kuua hakuwa amefanya plans zozote za kutaka kumuua Kanumba na anaweza kujitetea kuwa amefanya hivyo out of self defence...hope umeelewa sasa
 
Juzi J3 ktk Mkasi,LuLu amesema ndo she has attained 18yr.@Bornagain

Asante sana mkuu mie nipo huku pande za wilaya mpya ya Mlele mkoa mpya wa Katavi. TV sie hata hizo wanazotaka kuhama za analojia sie hatujazipata sasa sijui sie tutakua tunahamia digitali au ndo tunaanza na mapindusi ya digitali kabisa.
 
Mimi sijasoma law nimesomea vitu vingine,lakini watu wa law pia nao waje watusaidie sheria inasemaje unapodate na msichana alie chini ya mika 18 hata kama hasomi shule au hata kama umemuokota ohio street

Umeelewa lakini maelezo? Sio unakurupuka tu bila hata kusoma vizuri au ndo kutaka kuwa wa kwanza kucoment?
Haya hebu niambie nani yupo under 18 hapo, Kanumba or Lulu? Wote hao ni above 18.
 
Mimi sijasoma law nimesomea vitu vingine,lakini watu wa law pia nao waje watusaidie sheria inasemaje unapodate na msichana alie chini ya mika 18 hata kama hasomi shule au hata kama umemuokota ohio street
lulu anamiaka 18
 
Nashauri subirini taarifa ya dakitari kuhusu chanzo cha kifo. Mpaka sasa hakuna uthibitisho kuwa Lulu alimsukuma, inawezekana kwenye purukushani hiyo, ni Kanumba mwenyewe ali bugi step akateleza na kuanguka bila kusukumwa na yoyote!.

Hata kama ni kweli Lulu alimsukuma, chanzo cha kifo sio lazima kiwe kimetokana na kusukumwa!. Inawezekana Kanumba alikuwa na heart problem, pressure etc, hivyo alipokasirika pressure zikapanda, au akapata heart failure ndipo akaanguka!.

Hata kama ni kweli alijigonga, subirini madaktari wathibitishe chanzo cha kifo ndipo tuendelee kujadili!.

Najua msiba huu ni huzuni kubwa, lakini nawaombeni sana, lets not be judgemental kwa Lulu!.

Mimi ni miongoni mwa waumini wakubwa wa the doctrine of "karma", kuwa there is nothing new under the sun, hakuna coincidence wala bahati mbaya, lolote ambalo limetokea, lilikuwa litokee tuu, yaani siku ya mpendwa wetu Kanumba ndio ilikuwa imefika, saa ilipotimia Mungu akamuita, hata asingesukumwa, angefia usingizini!.

After all, there is life after life and life before life!, death ni change tuu ya life form from physical body to spiritual body!.

Rip Kanumba.

Pasco
 
mkuu wa majeshi wa zamani nchini Uganda Major General James Kazini aliuawa na hawara wake kama alivyokufa kanumba.kulikua na ugomvi,alikua amelewa na bastola yake ilikutwa eneo la tukio.yule hawara akampiga na chuma kichwani jama akafa.mahakama ikaamua kwamba ilikua manslaughter na hawara kafungwa miaka saba.
 
Back
Top Bottom