Sakata la Lovness Tarimo limejaa ukakasi

Mshana Jr ukienda instagram yake wanakiri wamesoma naye na ni ke kweli...huyo dada mbona anaonekana mwongo kabisa hata facial expression!
 
Umiss gani mshindi analipwa milioni 3?! Ilikuwaje hiyo 2019 hii habari haikusikika kabisa?!
 
Kama wewe hukusikia wengine walisikia, ulitaka alipwe sh ngapi? Kama una uhakika ni mwanaume weka wazi vithibitisho itapendeza.
Nilichohis na kusikitisha anahisi uyu ni miss wa urembo kama kina wema kumbe uyu ni miss fitness mtunisha misuli wa kike alishinda 2019 sasa ukicheki picha zake zile Una elewa loveness ni female
 
Ila watu mnapendaga kuhangaika na vitu vya ajabu na vinavyochosha!,yani kufatilia li habari kama hili la hovyohovyo linanipa picha jinsi watanzania tulivyo na vichwa panzi! Hii haifai hata kuwa habari ya ku trend!

Nawe pia uliyoandika, kwa kufungua Uzi kuusoma.
 
vichwa panzi habari zenu zakichoko ndio mnazoziweza na kuzipenda mkiona muache hukohuko.

ndiomana ccm inazidi kututawala ukute alieleta hiihabari humu ana miaka40+

mkiona habari zakichoko acheni hukohuko msilete jf au nanyie nimachoko?

Nawe umeusoma Uzi.. ni hivyo hivyo umeongelea umooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…