Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,286
Papa Francis anakazi sana kudeal na hizi case za transgender. Ndo maana kaona isiwe tabuNi kiki tu na ameshaomba msamaha. Loveness ni mwanamke haina utata wowote.
Ambae ana uhakika ni mwanaume ajitokeze athibitishe😅