Sakata la Lissu: Zitto Kabwe na Saed Kubenea waitwa Kamati ya Maadili ya Bunge

Kamati ya kutimiza udikteta uchwara unaofanywa na dikteta uchwara nchini. Bunge haramu halina hadhi ya kuendelea kuwepo Kwani sasa badala ya kuwa wawakilishi wa Watanzania Bungeni limekuwa ni kitengo cha MACCM na kufanya kazi bega kwa bega na dikteta uchwara.

Hivi wapi mliona bunge linaunda kamati ya uchunguzi alafu badala ya kukabidhi bungeni na kuijadili, na kutoa mapendekezo, wanakimbilia kumpelekea Rais? Wakiambiwa wanaita watu kwenye kamati ya maadili.
 
Mbona ni utaratibu wa kawaida tu.. Ww umeona nn cha ajabu hapo? Hizi akili za nyumbu hz, ni ugonjwa wa maisha.. Narudia kipi cha ajabu hapo ? Akili yako gonjwa kabisa, ur sick
Utaratibu upi? Wa Bunge kuunda kamati halafu ripoti ya kamati anakabidhiwa dikteta uchwara kabla ya kuwasilishwa bungeni? Uliona wapi! Ukweli ni kwamba Ndugai haendeshi bunge, anaendesha kamati ya serikali baada ya Bunge kutekwa nyara. [COLOR=#0000b3][B]Jay One[/B][/COLOR], kuliko kuwa na akili kama yako, heri mtu huyo aokote makopo!
 
Reports zileetwa daisalamu usikuusiku utadhani bungeni kulikua na hatari ya moto kuunguza bunge.mzizii ulijichimbia chini umeshika hatamu
 
Mbona ni utaratibu wa kawaida tu.. Ww umeona nn cha ajabu hapo? Hizi akili za nyumbu hz, ni ugonjwa wa maisha.. Narudia kipi cha ajabu hapo ? Akili yako gonjwa kabisa, ur sick
Nani kasema si kitu cha kawaida! Tatizo si ukawaida tatizo sababu ndo si za kawaida, wewe ndiye mgonjwa.
 
Hivi wakati wa mchakato wa kuwania nani agombee Urais, Mheshimiwa sana Bw Job Ndugai alikuwa kambi gani vile? Tujikumbushe
 
Kama kweli wanakamati wana guts za kusawazisha hii sintohamu wafanye live coverage tuwaone na tusikie watakachojadili na sio kukaa na kuandaa ripoti zilizojaa editing ndio tusomewe kwa kuchagua za maneno wayapendayo wale....... Kuyasikia!
 
Ana taaluma ya uandishi na amesema walichokiona, na ni kweli spika na serikali wamezidi kutulisha matango poli

Polisi jana walikuwa na press conference na hawakusema alichosema Kubenea ni uongo?

Mwisho daktari anahusiana nini na idadi ya risasi zilizopigwa au ni shule za kata syndrome inakusumbua
Chonde chonde ongea yote lakini shule za kata uziache zilivyo. Sisi tulosomea shule za kata unatuboa
 
Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amemuagiza kutafutwa kwa namna yoyote Mbunge wa Ubungo(Chadema), Saed Kubenea apelekwe kesho kwenye Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama ili ahojiwe kuhusu kauli aliyoitoa ya kumtuhumu Spika kuwa amedanganya idadi ya risasi alizopigwa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu.



Na kama spika naye angedanganya kwa mfano akasema zilikuwa risasi 2, angeitwa na nani kuhojiwa
 
Back
Top Bottom