Sakata la Lissu "Handle with care"

Ni andiko zuri tu kwa anaye tumia kichwa kufikiri...
 
Kama utani vile, lakini kuna cha kujifunza pia.
 
Hapo umeeleweka ila kama unauamusha upande wa kijani iv
 
Kwa kila hoja nakuunga mkono sana. Polisi na serikali wanahitaji umakini sana.
Ushauri wangu ni kubadili namna ya kufanya ukamataji. Huu ukamataji baridi hautasaidia kumfanya mkosaji aache kuendelea na huu mchezo. Polisi waanze kufanya ukamataji wa nguvu halisi au zakutengeneza kiasi akitoka hapo ni hospitali tu. Kwa aina hii ya ukamataji itamfanya aache kufanya kosa hili, au akifanya kosa tu atakuwa anakwenda kujisalimisha polisi.
 
Kwahiyo mnataka kutuaminisha kuwa CHADEMA wanajua mbinu za siasa kuliko CCM?
 
Nafikiri nia hasa ya Chadema ni ama Lissu afungwe au awekwe ndani ipatikane sababu ya kufanikisha operation hiyo.

Unamtetea atoke!! Hapo kafika hakuna cha nini wala nini.CHADEMA waogopwe na POLISI!!!! Unaota.Operation gani watafanikisha!!! Sitaki kumwaga mtama hapa lakini wao wenyewe wako so frustrated kama hujui.Umeona Lowasa tu anavyotolewa mkuku utafikiri kibaka akienda vituo vya polisi.Maskini alidhani bado aweza heshimiwa hata na Koplo anajikuta wala hana heshima tena!!
 
Mbona mimi sioni watu wenyewe wakuitingisha serikali kiasi cha jumuia za kimataifa kuingilia?
 
Hakuna mpango wowote hapo, lissu amekosa jukwaa sasa ameamua kutafuta kwa njia nyingine. Tatizo lake anafikiri serikali ya sasa ni ile iliyo pita, kama atakutwa na kosa basi atahukumiwa na hakuna wa kufanya lolote. Tatizo la watanzania wengi wamesahau kuwa sisi tuko Africa na africa mambo ni tofauti na kwa wazungu. Huku kwetu hakuna kufata sheria, sio serikali wala upinzani, wote wanafata wanayo taka wao. Chukua mfano wa hii movie ya Lissu, anacho pigania ni nini hasa?
 
Wacha wacheze. Hata gadafi alianza ivi ivi na mwisho wake ulikuwa mbaya. Damu zinazomwagwa kila mwaka zinamlilia Mungu mbele ya kiti chake cha enzi. Ipo siku ghadhabu ya Mungu itawaka na hakuna atakae zuia na waonevu wote watalia na kusaga meno
Wapuuzi wenzako walishashituka kuwa walifanya kosa kumuondoa Gadaf bado wewe tu. yaelekea kwako Libya ya sasa ni Bora kuliko ile ya gadaf! kweli kwenye dunia hii kuna mataahira mengi sana.
 
Mkuu huwezi kuendesha msako wa kukamata watu hovyo bila grounds zozote za sheria.
 
Mkuu simtetei atoke bali atatolewa na udhaifu wa makosa wanayomkamata nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…