rashidforeseerer
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,000
- 440
Kuna kitu kinaitwa Presidential Decree.
Sawa lkini haitamiwi ipingane na sheria za nchi au katiba.
Kuna kitu kinaitwa Presidential Decree.
Mkuu hapo umenena. Na angekua amekata mzizi wa fitina...Wapinzani wanasema mikutano na maandamano ni haki yao kikatiba na kisheria. Sasa rais angetuambia yeye anazuia mikutano na maandamano ya vyama vya siasa kwa sheria ipi?
Tumeshuhudia siku za hivi karibuni polisi imekuwa ikihangaika na matamshi ya Mbunge wa Iramba Mashariki Mh. Tundu Lissu kuwa rais Magufuli ni "dikteta uchwara".
Hebu tujiulize nini hasa lengo la hili sakata kwa pande zote zinazovutana.
Haiwezekani mtu unakamatwa/shitakiwa kwa kosa fulani halafu unarudi kutenda kosa lilelile tena nje tu ya jengo la mahakama.
Binafsi naona ni kama kuna mtego fulani kwa chama tawala utakaohitimishwa September 1, chini ya Operation UKUTA.
Nafikiri nia hasa ya Chadema ni ama Lissu afungwe au awekwe ndani ipatikane sababu ya kufanikisha operation hiyo.
Lengo lingine nafikiri ni kukiweka chama kwenye headline kwa muda mrefu na kufifisha ziara za mtukufu rais zinazoendelea. Kumbuka kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Mh. Mbowe alisema wanauwezo wa kufanya siasa ndani na nje ya bunge.
Lengo lingine "nafikiri" ni mkakati wa kumuandaa mtu atakayeaminiwa na kuonewa huruma na jamii (Mandela style) ili labda baadaye aje kugombea cheo kikubwa ndani au nje ya chama.
Lengo lingine nafikiri ni kuionyesha dunia na watanzania kwa ujumla kuwa serikali ya Magufuli ni ya kidikteta inayovunja katiba yake ili kuthibitisha maneno ambayo yamekuwa yakisemwa na chama hicho.
Serikali ijue Chadema ni chama kikubwa kina uzoefu mkubwa kina wanasiasa wazoefu na wakongwe, hivyo kina mikakati yake na mbinu mbalimbali za kujiimarisha. Hivyo, serikali isilichukulie sakata la Lissu kama jambo dogo, should handle this issue with care.
Kumbuka moto huanza na cheche moja baadaye husambaa na kuunguza msitu mzima.
Haya ni mawazo yangu binafsi.
Huyo Lissu ana kiki gani?Acha ukuda wewe.. Lissu mwenyewe ni kiki tosha..
Kivipi?Hivi serikali nzima inashindwa akili na mtu mmoja?
Ya pikipiki...Huyo Lissu ana kiki gani?
Ha ha ha. Punguza munkari.Ya pikipiki...
Usharidhika?
Naona unabisha usivyovijua
Hivi Jamiiforums siyo sehemu ya hizo media?hivi lisu ndo nani mbona mna mpa kiki bure , ndo maana hata media hazimpi umaarufu wowote KUTOA habari zake
This may be too smart for themTumeshuhudia siku za hivi karibuni polisi imekuwa ikihangaika na matamshi ya Mbunge wa Iramba Mashariki Mh. Tundu Lissu kuwa rais Magufuli ni "dikteta uchwara".
Hebu tujiulize nini hasa lengo la hili sakata kwa pande zote zinazovutana.
Haiwezekani mtu unakamatwa/shitakiwa kwa kosa fulani halafu unarudi kutenda kosa lilelile tena nje tu ya jengo la mahakama.
Binafsi naona ni kama kuna mtego fulani kwa chama tawala utakaohitimishwa September 1, chini ya Operation UKUTA.
Nafikiri nia hasa ya Chadema ni ama Lissu afungwe au awekwe ndani ipatikane sababu ya kufanikisha operation hiyo.
Lengo lingine nafikiri ni kukiweka chama kwenye headline kwa muda mrefu na kufifisha ziara za mtukufu rais zinazoendelea. Kumbuka kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Mh. Mbowe alisema wanauwezo wa kufanya siasa ndani na nje ya bunge.
Lengo lingine "nafikiri" ni mkakati wa kumuandaa mtu atakayeaminiwa na kuonewa huruma na jamii (Mandela style) ili labda baadaye aje kugombea cheo kikubwa ndani au nje ya chama.
Lengo lingine nafikiri ni kuionyesha dunia na watanzania kwa ujumla kuwa serikali ya Magufuli ni ya kidikteta inayovunja katiba yake ili kuthibitisha maneno ambayo yamekuwa yakisemwa na chama hicho.
Serikali ijue Chadema ni chama kikubwa kina uzoefu mkubwa kina wanasiasa wazoefu na wakongwe, hivyo kina mikakati yake na mbinu mbalimbali za kujiimarisha. Hivyo, serikali isilichukulie sakata la Lissu kama jambo dogo, should handle this issue with care.
Kumbuka moto huanza na cheche moja baadaye husambaa na kuunguza msitu mzima.
Haya ni mawazo yangu binafsi.
Kwann isishindwe kama inaongozwa hivi???Hivi serikali nzima inashindwa akili na mtu mmoja?
his safiHuwa wanamuita Mbowe kwa kebehi kuwa ni DJ, lakini ukweli ni kuwa kama ni DJ basi ni wa ukweli kwani kila muziki anaouweka Ccm wanaucheza na serikali wananengua mpaka basi.
Kamusi iko wazi kuhusu neno Dikteta jee wanashindwa kulisoma na kujua tafsiri yake kuwa sio matusi?
DJ Mbowe shusha CD za kutosha kwa mtindo wa bandika bandua wacheze mpaka nyonga zifyatuke.
Leo ni Lissu, kesho CD nyingine, hivyo hivyo hadi sept1 hapo ndio unashusha remix
Tumeshuhudia siku za hivi karibuni polisi imekuwa ikihangaika na matamshi ya Mbunge wa Iramba Mashariki Mh. Tundu Lissu kuwa rais Magufuli ni "dikteta uchwara".
Hebu tujiulize nini hasa lengo la hili sakata kwa pande zote zinazovutana.
Haiwezekani mtu unakamatwa/shitakiwa kwa kosa fulani halafu unarudi kutenda kosa lilelile tena nje tu ya jengo la mahakama.
Binafsi naona ni kama kuna mtego fulani kwa chama tawala utakaohitimishwa September 1, chini ya Operation UKUTA.
Nafikiri nia hasa ya Chadema ni ama Lissu afungwe au awekwe ndani ipatikane sababu ya kufanikisha operation hiyo.
Lengo lingine nafikiri ni kukiweka chama kwenye headline kwa muda mrefu na kufifisha ziara za mtukufu rais zinazoendelea. Kumbuka kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Mh. Mbowe alisema wanauwezo wa kufanya siasa ndani na nje ya bunge.
Lengo lingine "nafikiri" ni mkakati wa kumuandaa mtu atakayeaminiwa na kuonewa huruma na jamii (Mandela style) ili labda baadaye aje kugombea cheo kikubwa ndani au nje ya chama.
Lengo lingine nafikiri ni kuionyesha dunia na watanzania kwa ujumla kuwa serikali ya Magufuli ni ya kidikteta inayovunja katiba yake ili kuthibitisha maneno ambayo yamekuwa yakisemwa na chama hicho.
Serikali ijue Chadema ni chama kikubwa kina uzoefu mkubwa kina wanasiasa wazoefu na wakongwe, hivyo kina mikakati yake na mbinu mbalimbali za kujiimarisha. Hivyo, serikali isilichukulie sakata la Lissu kama jambo dogo, should handle this issue with care.
Kumbuka moto huanza na cheche moja baadaye husambaa na kuunguza msitu mzima.
Haya ni mawazo yangu binafsi.
Wapinzani wanasema mikutano na maandamano ni haki yao kikatiba na kisheria. Sasa rais angetuambia yeye anazuia mikutano na maandamano ya vyama vya siasa kwa sheria ipi?