1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,304
Hivi serikali nzima inashindwa akili na mtu mmoja?
na umaarufu unapukutika kweli!Usighairi bado mapema mno hata mwaka hajamaliza.
Ila ukilinganisha imani ya wananchi kwa Magufuli na Kikwete kwa mwaka wa kwanza wa Utawala wao, ya Magufuli inaporomoka kwa kasi ya ajabu.
Hapo sasa! Na je CCm sio chama cha siasa? Kama ni chama cha siasa mbona majuzi kimefanya mkutano wake Dodoma? Mbona yeye anaendelea na mikutano yake ya hadhara na wanachama wake wanaonekana wamevaa rangi za chama cha siasa!Wapinzani wanasema mikutano na maandamano ni haki yao kikatiba na kisheria. Sasa rais angetuambia yeye anazuia mikutano na maandamano ya vyama vya siasa kwa sheria ipi?
Sema mawazo yako inatosha, sio kuchanganya watanzania wote.
Dj ameweka CD ya makirikiri sasa hivi Mwigulu Nchemba na vijana wake majasho yanawatoka wanasakata makirikiri pale uwanja wa taifa
nami naunga mkono hoja . mkuu yeye ashughulikie ishu za msingi za taifa hili ambazo miaka mingi watanzania wamekuwa wakizililia na fisiemu wamekuwa wakiwanyonya watanzania wengi.Yaani kama kauli mbiu yake ya hapa kazi tu, basi atambue kuwa hakuna kazi yoyote ambayo huwa haikosi maneno, na mtu mvivu huwa anakatishwa tamaa na maneno ya watu na mwisho asifanye kazi kabisa,na kamwe jua halimsubiri mvivu.
Nashauri, wakati anaowahofia wakisema, asijali yeye aendelee na kazi, mwisho wa siku itafahamika, hakuchaguliwa na wananchi ili kupambambana na wapinzani, alichaguliwa kwa sela zake za kuondoa umasikini na kuleta usawa kwa watanzania... asipoteze muda na nguvu kwa kupambana na wapinzani, wapinzani aliwakuta na atawaacha, hata nyumbani kwake wapinzani wapo, wasimpotezee malengo yake na mwisho wa siku anakuja kukumbuka shuka wakati kumeshakucha...na pia mkuu, asisahau kuwa kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji.....aendelee na sera yake ya kutumbua majipu na kukomesha mafisadi katika nchi hii, wapinzani awaaache kwani aliwakuta na atawaacha, wasipompinga hadharani watampinga chini kwa chini,yeye afanye kazi aliyowaahidi wananchi . Huwezi kuzuia maneneo ya watu, pinga maneno ya watu kwa kufanya kazi basi, na mwisho watakuheshimu na hata upinzani huo utaumaliza kwa kufanya kazi.
Lini mawazo ya kizamani yatawatoka akilini? Bado hamjui kuwa hii ni dunia nyingine?Sasa unadhani serikali haijui...mtu akishakua na serikali sio mwenzako, CCM ni Chama dola..
kwa sababu ana akili kuzidi viongozi wote wa ccm na wanachama wakehivi lisu ndo nani mbona mna mpa kiki bure , ndo maana hata media hazimpi umaarufu wowote KUTOA habari zake
mpaka lizabornHuyo Lissu ana kiki gani?
Hakuna sharia hapa yeye anataka maendeleo.Wapinzani wanasema mikutano na maandamano ni haki yao kikatiba na kisheria. Sasa rais angetuambia yeye anazuia mikutano na maandamano ya vyama vya siasa kwa sheria ipi?
Mimi nakubali atusemee WatanzaniaUsitusemee watanzania wote.
"Tukisema mamlaka ya Rais kuzuia shughuri za kisiasa hayapo kikatiba, CCM wenzetu watatupiga mawe maana wote wanasifu na kuabudu tu wakiamini ni MTUKUFU, na tukisema mamlaka ya upinzani yapo kikatiba kufanya siasa, wananchi watatuuliza sasa mbona nyie CCM hamsidiki...."Wapinzani wanasema mikutano na maandamano ni haki yao kikatiba na kisheria. Sasa rais angetuambia yeye anazuia mikutano na maandamano ya vyama vya siasa kwa sheria ipi?