Sakata la kutekwa, kuteswa Kibanda: Maggid Mjengwa ahojiwa na Polisi!

Hiv 50,000 elfu inaweza kufanya mtu afanye tukio hatarishi km hilo, kabla ya kusema fikirieni, kweli lodvicky utamdanganya kwa elfu 50,000, haitoshi hata kutumia kwa siku. Acheni mwigulu afichue magaidi wa nchi hii, mimi mwenyewe naandika huu ujumbe lkn naofia maisha yangu kwani chadema wanaweza kuning1oa meno bila ganzi,
 
Nakwambia
haya ni maajabu!
mwigulu jana Bungeni anasema alipeleka ile CD Polisi na anao ushahidi wa
maandishi aliyokuwa anaandika Lwakatare wakati akirekodiwa.
Kilichonishangaza akainua karatasi na kusema " na karatasi aliyokuwa
anaandika mtuhumiwa ninayo hapa!..... Hii hapa kama ushahidi ....."Sasa
najiuliza,jee alipo kabidhi video hiyo, jee Polisi walimwambia hiyo
karatasi aliyoandika mtuhumia aendelee kukaa nayo ili aje aionyeshe
Bungeni? Au yeye Mwigulu siku hizi ni custodian wa nyaraka za ushahidi?
Maana haileti mantiki kusema ule ni ushahidi na bado uko mikononi mwa
Mwigulu ambaye ndiye mfanya mawasiliano na hao magaidi ( kama
anavyowaita yeye) aliokuwa anawalipa fedha mara kwa mara.Huyu alipaswa
ahojiwe tena kwa kuminywa kereng'ende ili aseme maana imeshajionyesha ni
mtu hatari sana. Jana nimesoma waraka wa Joshua Nassari kuhusu
mawasiliano ya Mwigulu na yule mwenyekiti wa Chadema Usa River na jinsi
alivyopokea pesa toka kwa Mwigulu ili ahujumu naye akaziwakilisha
Chamani. Kilichofuatia ni kuchinjwa kama kuku na wauaji kutorokea
Mahakamani chini ya ulinzi mkali wa Polisi na hakuna jitihada
zinazoendelea kuwatafuta.Ukisoma btn the line, Mwigulu anaonyesha
uhusika kabisa katika hilo. Huko Singida anatajwa kwenye mauaji,Igunga
inafahamika uhusika wake na yaliyotokea na kadhalika.Huyu mtu ni hatari
na ana baraka zote za chama chake, na anaamini hata anavyojulikana
hakuna litakalo mpata maana yeye anatimiza wajibu aliopewa na system
inayoongoza. Tumuweke kwenye kumbukumbu ili baadae aje ajibu
yote.

kweli ndg. hata mi nimeshapata mwanga,haya mauaji ya kisiasa nchini
pamoja na uteswaji kungolewa meno na hatimaye kutobolewa macho yana mkono wa
mwigulu,lakini kila kitu kitajulikana tu hata wale wanaomtuma kutekeleza
mauaji watajulikana.
 
Labda heading ya uzi huu ingekuwa imebeba habari Maggid Mjengwa anahojiwa na POLISI kusaidia uchunguzi wa kesi .........

Ila kwa vile Mjengwa ameoa raia wa Sweden, naamini POLISI watamhoji bila kumkandamiza maana wazungu watakuja kutaka kujua vipi wanamuunganisha Mjengwa katika sakata hili la Mwingulu.
 
Watu mbona mnageuka wajinga kabisa?

Hizo typo ziko nyingi mno na kwa kiswahili hata ni nyingi zaidi.

Kuandika knows hapo badala ya know haina maana mhusika hajui neno sahihi. Kunaweza kuwa factors kibao. Watu wengine wanaotumia smart phones mara nyingi neno linaandikwa bila hata mwandishi kukusudia.

Kuongeza s moja kwenye maandishi ya Lukosi hakumfanyi aonekane hajui Kiingereza. uandishi wa hapa JF sio wa kurudia kusoma ulichoandika na makosa kama hayo yanatokea hata kwa wenye lugha.

Mbona Kiswahaili wote tunakosea kila siku na hatuoni watu wakicheka? kasumba ya kujua Kiingereza na kukosoa kila mtu anapofanya hata kosa kubwa inatupambaza kabisa.

Mkuu, ni kweli, hutokea mara kwa mara. Ila ni vema kuwa makini ili wanaojifunza wajifunze kilicho sahihi kuliko kuhalalisha sicho ndicho.
Nawe mkuu hapo kwenye wekundu, ni kweli hukupaona au umefanya kusudi ili kuhalalisha andiko lako kutetea kosa la lugha la Lukosi?
 
Kuna tofauti kati ya mshitakiwa , mtuhumiwa na shahidi

Mshitakiwa ni yule mtu ambaye polisi wanaamini ametenda kosa na wana ushahidi wa kutosha kumfikisha mahakamani

Mtuhumiwa ni mtu ambaye ametajwa kuhusika na kosa la jinai lakini bado uchunguzi unaendelea ili kuthibitisha tuhuma hizo dhidi yake. Huyu anaweza kuachiliwa baada ya mahojiano na polisi au akashikiliwa kwa muda kituoni.

Shahidi ni mtu ambaye ana ushuhuda fulani juu ya kesi ya jinai na hutumiwa na polisi katika upelelezi, shahidi anaweza kuitwa wakati wowote kituo cha polisi kuhojiwa au akahojiwa nyumbani kwake atoe maelezo au sehemu yoyote ambayo polisi na shahidi wataona iko salama na haitamzuia kutoa ushahidi,

Kuna kitu kimoja watu wanashindwa kuelewa hapa.

Sio kila mtu anayeitwa kituo cha polisi ni mshitakiwa.

Maggid anaweza kuwa shahidi kutokana na ukaribu wake na Ludo (ambaye nina uhakika asilimia mia ni shushu wa CHADEMA) na anaweza kuwa kaitwa polisi kutoa maelezo yake, lakini kwa sababu Chadema wameishajiweka image ya uhalifu na kuwachukia polisi wao wataanza kulaani polisi hapa. Kumbukeni kuwa LUDO na Lwakatare wako ndani pamoja na yule kijana wa bukoba, hao lazima kwa namna moja au nyingine watakuwa wameanza kuimba huko lupango kwani kwenye sheria ya ugaidi polisi wanaruhusiwa kutumia mbinu zote kumfanya mtuhumiwa aongee.

Kama Mjengwa akionekana ana kesi ya kujibu basi nitakuwa nimekamilisha na mimi uchunguzi wangu ilikuwaje mawasiliano yangu na mjengwa yalikuwa yanakwenda kwa Dr Slaa na DJ moja kwa moja

Mjengwa kwa sasa anahojiwa kama shahidi hivyo acheni kutokwa povu na kama ni kamata kamata basi tutegemee wengi tu watakamatwa wengi tu kuanzia Dr Slaa Mpaka Mbowe.

Mkuu nashukuru sana kwa kunifanya nielewe mengi katika hiyo fani ya UPC, sasa swali jingine , nahisi jana ulifuatilia bunge if not ulisikia ile kauli ya mbunge wa Ccm Mwigulu akisema yeye anao ushahidi wa kufanya CDM kiwe chama cha ugaidi , kutokana na kauli hiyo unaonaje kama mwigulu naye akiunganishwa katika kuisaidia polisi ..? Nipe mawazo yako kwenye hilo swali bila kujali itikadi za UCCM na UCHADEMA !!!!
 
Itakua kamatakamata ambayo in the process italifedhehesha Jeshi la Polisi ikiwa wahusika muhimu hawajakamatwa....

Hii ni fedheha sio kwa jeshi la polisi tu; ni fedheha kwa WATAWALA kuanzia RAIS NA WASAIDIZI WAKE na TAIFA kwa ujumla.

Mtu yeyote angetarajia Mwigulu awe central police station akihojiwa lakini inashangaza na kusikitisha kuwa wameamua kujitungia na kufanyakazi kwa sheria wanazozijua wao, hii ni aibu tena aibu kubwa.
 
Wamhoji bila kukiuka haki za binadamu, maana walivyo na hasira hawachelei kusema kadondokewa na kitu chenye ncha kali.
 
Wewe pia unatakiwa uhojiwe, nina uhakika unajua mengi sana lakIni hutaki kuOngea

Aliyekamatwa ni Mjengwa chuki na Ben ya nini wakati sakata/movie l/yote producer ni Mwigulu Nchemba na wasaidizi ni wewe, Juliana, Mtela Mchange na Lumumba crew. Tunasubiri hatua inayofuata.
 
Itakua kamatakamata ambayo in the process italifedhehesha Jeshi la Polisi ikiwa wahusika muhimu hawajakamatwa....

Ni kweli lakini kwao kufedheheka si kitu muhimu kwa kuwa wamezoea kuwa hivyo, wanaendeshwa hovyo na mabwana zao ccm. Natamani cdm ikishika inji isafishe hizi takataka kuanzia TISS mpaka MAGEREZA
 
Hiv 50,000 elfu inaweza kufanya mtu afanye tukio hatarishi km hilo, kabla ya kusema fikirieni, kweli lodvicky utamdanganya kwa elfu 50,000, haitoshi hata kutumia kwa siku. Acheni mwigulu afichue magaidi wa nchi hii, mimi mwenyewe naandika huu ujumbe lkn naofia maisha yangu kwani chadema wanaweza kuning1oa meno bila ganzi,

sitaki kuamini uwezo wako wa kuwaza umeishia hapo na elfu 50!!! Je umewaza kama kwa uchache imeonekana record ya elfu 50 kutoka kwa bwana chemba,je cash kutoka kwa chemba au mtu wa pembeni hajawahi nipples???!! na kabla ya hizo je kiasi gani wameshawahi kupeana???!% kwa miadi ipi?? kama huwezi waza nje ya box basi ni upuuzi au vinginevyo unafanya ukuadi wa mafisadi na watu washenzi Casio na uchungu wa taifa hili na vizazi Vijay,since they are not leaders but just bunch of thieves through fake democracy,they think about next election and corruption,and not about next generation and development,maza fanta!!!
 
Kuna tofauti kati ya mshitakiwa , mtuhumiwa na shahidi

Mshitakiwa ni yule mtu ambaye polisi wanaamini ametenda kosa na wana ushahidi wa kutosha kumfikisha mahakamani

Mtuhumiwa ni mtu ambaye ametajwa kuhusika na kosa la jinai lakini bado uchunguzi unaendelea ili kuthibitisha tuhuma hizo dhidi yake. Huyu anaweza kuachiliwa baada ya mahojiano na polisi au akashikiliwa kwa muda kituoni.

Shahidi ni mtu ambaye ana ushuhuda fulani juu ya kesi ya jinai na hutumiwa na polisi katika upelelezi, shahidi anaweza kuitwa wakati wowote kituo cha polisi kuhojiwa au akahojiwa nyumbani kwake atoe maelezo au sehemu yoyote ambayo polisi na shahidi wataona iko salama na haitamzuia kutoa ushahidi,

Kuna kitu kimoja watu wanashindwa kuelewa hapa.

Sio kila mtu anayeitwa kituo cha polisi ni mshitakiwa.

Maggid anaweza kuwa shahidi kutokana na ukaribu wake na Ludo (ambaye nina uhakika asilimia mia ni shushu wa CHADEMA) na anaweza kuwa kaitwa polisi kutoa maelezo yake, lakini kwa sababu Chadema wameishajiweka image ya uhalifu na kuwachukia polisi wao wataanza kulaani polisi hapa. Kumbukeni kuwa LUDO na Lwakatare wako ndani pamoja na yule kijana wa bukoba, hao lazima kwa namna moja au nyingine watakuwa wameanza kuimba huko lupango kwani kwenye sheria ya ugaidi polisi wanaruhusiwa kutumia mbinu zote kumfanya mtuhumiwa aongee.

Kama Mjengwa akionekana ana kesi ya kujibu basi nitakuwa nimekamilisha na mimi uchunguzi wangu ilikuwaje mawasiliano yangu na mjengwa yalikuwa yanakwenda kwa Dr Slaa na DJ moja kwa moja

Mjengwa kwa sasa anahojiwa kama shahidi hivyo acheni kutokwa povu na kama ni kamata kamata basi tutegemee wengi tu watakamatwa wengi tu kuanzia Dr Slaa Mpaka Mbowe.
Sio siri you must be serious sick.
 
Mwisho wa mwigulu itakua ni kifungo kwa kosa la mauaji. damu ya binadamu haipotei bure. mia
 
Back
Top Bottom