Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,126
- 1,290
Tutakumbuka siku chache zilizopita ilisambaa barua iliyoashiria chuki, ubaguzi wa Kidini wa watendaji wa Serikali (Tume ya utumishi wa walimu - Muleba Kagera) kwa kukataa kumpatia barua ya kumthibitisha Mwalimu kwa kuwa anafuga ndevu nani Mvaa kanzu.
Barua ile si tu ilimkashifu Mwalimu bali pia Waislam na Uislam.
Waliofanya upuuzi huu hatujasikia wakiadhibiwa. Hii ina maana Serikali imewabariki.
Kadhia hii ni muendelezo wa ubaguzi hasa katika taasisi za Ummah. Hasa watumishi na wanafunzi wa kiislam.
Tumepata taarifa kuwa watumishi wa umma mkoani Geita na Wanafunzi wa UDOM nao wako manung'uniko la zuio la kuvaa mavazi yenye adabu za Kiislam.
Kwa mfano Udom wamelilinganisha vazi hilo na kuliweka kundi moja na mavazi wanayovaa wanahudumu kwenye casino.
UDOM ni muendelezo tu wa matukio ya kuminya uhuru wao wa kuabudu kwa waislam. Tutakumbuka miaka mitano iliyopita taasisi hii ya umma ilikataa kutoa eneo la kujengwa msikiti, tukizingatia kuwa wenzetu wakristo hayahitaji mazingira maalumu ya kufanya ibada zao na hivyo hutumia madarasa ya chuo.
Wakati serikali ya ikikataa kutoa eneo la kujengwa msikiti kwa nguvu ya waislam wenyewe, serikali hiyo hiyo imejenga makanisa mawili na msikiti mmoja ktk eneo la umma ofisi za mkuu wa wilaya Kigamboni dsm.
Kwanini Waislam pekee ndio wawekewe vikwazo na Serikali hii.
Je ni jamii gani miongoni mwa jamii zinazounda Watanzania yenye hati miliki ya kufwatwa matakwa yao katika sheria, kanuni, sera, itikadi ambazo si Universal.
Naam, itikadi, sera, sheria na kanuni za zafaa kuwa universal. Kwamba hakuna jamii inayobanwa na sera, itikadi, sheria, kanuni hizo huku jamii nyingine zaendana nazo.
Kuna sera, itikadi, sheria, kanuni, taratibu zaidi ya 100 si Universal na zinawazuia waislam kuwa huru kufata adabu na ustaarabu kiislam na kuzuia uhuru wa kuabudu wa Waislam wa Tanganyika na si wa Zanzibar.
Kanuni pekee ya kidemokrasia inayoruhusu kundi moja la jamii kuwa na uwezo wa kutunga sheria, itikadi, sera kanuni za nchi ni iwapo tu kundi au tabaka hiyo ni wengi zaidi ukilinganisha na matabaka mengine.
Kama vile uwingi wa waislam zanzibar unahalalisha kutungwa kwa itikadi, sera, sheria, kanuni kutokana na uwingi wao.
Upande wa Tanganyika hakuna takwimu sahihi zinazowapa Wakana Mungu, Waktristo, Waislamu kutunga sheria zinazowapendelea wao. Sasa kwanini kundi moja wapo likandamizwe na sheria zilizopo.
Je tatizo ni dominion ya jamii ktk nafasi za utendaji wa Serikali ktk taasisi za umma.
Au tatizo ni mfumo wa utawala wa Serikali Kuu. Na kwamba pengine mfumo huo kubadilishwa ni salama zaidi kwa waislam nchini?
Kuna matukio na kesi zaidi ya 100 waislam nchini wanaquestion kwa watumishi zenye viashiria vya chuki, kukashifu haki, adabu za Uislamu kupitia Watendaji wa Serikali kwa kivuli cha kutafsiri kanuni, sheria, sera, itikadi za Utumishi sawa na wanavyofikiri wao (their believing system).
Je kuzuia Waislam wakiume kufuga Ndevu au kuvaa Kanzu, na kwa wanawake kuvaa yenye stara sawa na adabu za kiislam kama Hijab, Niqab tatizo ni Mfumo wa Utawala wa Serikali Kuu na kwamba ili waislam Wapate haki hii wanapaswa kupigania Mfumo wa Serikali za Majimbo yenye Uhuru zaidi wa Kujiamulia mambo yao wenyewe? Kwakuwa mfumo wa Serikali kuu unamilikiwa na kundi moja la kijamii tokea uhuru.?
Kwanini Zanzibar hakuna mateso haya wanayoyapata waislam wa Tanganyika
Tunaelewa Serikali zote duniani zinaongozwa na imani (falsafa). Je Serikali hii ya CCM inaongozwa kwa matakwa ya imani gani?
Mimi nafikiri Tatizo la Tanzania ni kwamba watu wazinzi, walevi, wasagaji, wezi wauwaji wasio na huruma, watu wakatili wasio na dini, wasio na hofu ya Mungu wameshikilia ofisi ya Umma.
Ndio maana leo hii kuna walimu wanafanya uzinifu na wanafunzi wao, wanavaa mavazi yenye kuonyesha matiti yao, wenye kuvaa mavazi yanaoonyesha chupi zao wako wanaonekana lakini wanathibishwa kazini. Lkn kwa muislam kufuga ndevu, kuvaa kanzu wanakosa haki.
Kwani hakuna wanasayansiwaliokuwa wakifuga ndevu?
Nani ataweza kuondoa changamoto hii. Tuanzie wapi.
Picha ya kwanza ni ya zuio la chuo cha UDOM ya mavazi yaliyoharamishwa chuoni hapo.