Si unajua polisi wetu nimakada wa chama kijani?Wadau, mwezi Februari 2008 baadhi yetu tulipigwa na butwaa pale Serikali ilipotangaza kuupiga marufuku mtandao wa JF ambapo mwazilishi/waanzilishi wa JF walikamatwa na Polisi Jijini Dar es salaam kwa mahojiano. Si Moderator wala Polisi/ Serikali ilitoa kauli kuwa JF na Serikali/Polisi walimazlizana vipi.
Ni vizuri wadau tupate updates kuwa sakata lile liliishia wapi maana hatujasikia kesi kutajwa wala watuhumiwa JF kufujushwa Mahakamani.
Wadau, mwezi Februari 2008 baadhi yetu tulipigwa na butwaa pale Serikali ilipotangaza kuupiga marufuku mtandao wa JF ambapo mwazilishi/waanzilishi wa JF walikamatwa na Polisi Jijini Dar es salaam kwa mahojiano. Si Moderator wala Polisi/ Serikali ilitoa kauli kuwa JF na Serikali/Polisi walimazlizana vipi.

Athumani hamisi wa daily news angekwepo angetuambia alikuwaje manake yeye ndio alienda kuwapekuwa siku hiyo