Sakata la Dowans, nani alaumiwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la Dowans, nani alaumiwe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mafinga kwetu, Jan 29, 2011.

 1. m

  mafinga kwetu Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG] Sakata la Dowans, nani alaumiwe ? Rais Jakaya Kikwete 3937 77%
  Baraza la mawaziri 377 7.4%
  Wanasheria na Mawakili 337 6.6%
  Shirika la Umeme (Tanesco). 198 3.9%
  Wabunge wa CCM 183 3.6%
  Wabunge wa upinzani 78 1.5%


  source:mwananchi.co.tz/component/poll/9-sakata-la-dowans-nani-alaumiwe-.html
   
 2. t

  tweve JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jakaya kikwete ndo wakulaumiwa
   
 3. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  tweve hivi ni yule bahati tweve wa udism mwaka 2004/5. Kama niwewe plz ni pm haraka contact zako, umekua unatafutwa muda mrefu,there is g ood job for you. Kama ni wewe unakumbukwa kwa ku mastermind mgomo flan kipindi hicho pale udsm.
   
 4. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,167
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Hatuhitaji kumlaumu mtu tunataka awajibike kwani kulaumu tu haitohi
   
 5. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo umeongea:clap2:
   
 6. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Wa kulaumiwa ni watanzania walioiweka serikali goigoi
   
 7. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  wakulaumiwa ni kikwete na tume ya uchaguzi iliochakachua matokeo.
   
 8. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #8
  Jan 30, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Hilo Gazeti la Mwananchi ntalifuatilia ni la lini? na kura mbona hatukupiga. Lawana ni nyie msiotaka kuchukua hatua na kuzungumzia chinichini hamuoni huko Misri? Nimeshasema Dowans wasilipwe, km ni RA nani asiyejua alizichota BOT ya Balali wakati wa awamu ya 3 akiwa Mweka Hazina wa Chama tawala? JK alikuwa Wizara ya nje. Hela zikaliwa na wengi wakati wa Kampeni (Kagoda, EPA, Richmond Dowans nk) na hata leo wanazisubiri asilaumiwe mmoja
   
Loading...