Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
Kuhani,
Tanzania bado tuna standards za chini sana, hatuna "zero tolerance" kwenye mambo ya rushwa na mengine muhimu yanayohusu maendeleo yetu.
Hata wabunge machachari kama kina Zitto wanakuwa wanasuasua, huko bungeni kuna politics kibao na ma coalitions kwa hiyo na wao wanakuwa wanauma na kupuliza, hawataki ku "step on people's toes" they play it safe, compromising principles for security. Hatuna "Profiles in Courage" types, at least not in the spotlight.
Those who compromise principles for (false) security will end up with neither.
Zitto tulitegemea uonyeshe njia kwa cheche za kizazi kipya, majibu yako hapa yanakufanya uonekane kama ushachoka.
Lakini Kiranga, what ever happened to him though?
Hivi unajua nikiulizwa ni nani aliye introduce balls and acumen za kushutumu mawaziri Bungeni in recent history nitasema ni Zitto Kabwe?
Yeye si ndo alimwanzishia moto Karamagi, akalaaniwa Bungeni, aka-recover with a deeper political profile, halafu ndio wabunge wenzake, CCM na wapinzani, wakaona anhaa, kumbe ni poa kuwawashia moto hawa Wakulu? Remember tulikotoka Kiranga, wabunge walikuwa wanafungwa jela kwa kubishana na serikali wakati wa baba yetu wa Taifa. Zitto tried successfully to buck that system. Sasa what got into him?
He has nothing to gain. Angekuwa CCM tungesema anatafuta wizara. Angekuwa hajawahi kutishwa tishwa Bungeni tungesema anaogopa, lakini the man is used to receiving the most vicious repudiation by his fellow law makers short of being kicked out of the house. He has nothing to lose. Kama ni posho, bado ataipata tu, nadhani kiti cha Kigoma Kaskazini he is a shoe in for the foreseable future. I mean, he has nothing to gain, nothing to lose. He is anything but fisadi, I will testify under oath against anybody who mentions his name next to the F word. So what is it?
What drives his contemporary political thinking?