Sakata la Dawa za Kulevya: Huyu angekuwa bado ni kamanda ningehoji na yeye achunguzwe

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Kwa kuwa tunadhamira kweli ya kutokomeza suala hili, na kwa kuwa hili suala halitamuacha yeyote yule, basi ingekuwa huyu ndugu bado yuko kwenye uongozi naye ningeshauri uchunguzwe Mara moja maana katika kipindi chake biashara hii ilishamiri sana na hakukuwa na mikakati yakinifu Kyoto jokes an kama ilivyo kwa sasa katika jiji LA dar chini ya Kamanda Siro . sijui wewe unasemaje?
tmp_25205-Kova+PHOTO1653920383.jpg
 
Mwacheni mzee wa watu. Sasa hivi amefungua taasisi yake ya disaster management
 
Bungen kwanza kwanini wamekuwa wakari na hii operation? ? Kuna kitu siyo bure
 
Kwa kuwa tunadhamira kweli ya kutokomeza suala hili, na kwa kuwa hili suala halitamuacha yeyote yule, basi ingekuwa huyu ndugu bado yuko kwenye uongozi naye ningeshauri uchunguzwe Mara moja maana katika kipindi chake biashara hii ilishamiri sana na hakukuwa na mikakati yakinifu Kyoto jokes an kama ilivyo kwa sasa katika jiji LA dar chini ya Kamanda Siro . sijui wewe unasemaje?View attachment 471956
Huyu alikuwa mwanasiasa, yeye kila siku yupo kwenye vyombo vya habari
 
Kwa kuwa tunadhamira kweli ya kutokomeza suala hili, na kwa kuwa hili suala halitamuacha yeyote yule, basi ingekuwa huyu ndugu bado yuko kwenye uongozi naye ningeshauri uchunguzwe Mara moja maana katika kipindi chake biashara hii ilishamiri sana na hakukuwa na mikakati yakinifu Kyoto jokes an kama ilivyo kwa sasa katika jiji LA dar chini ya Kamanda Siro . sijui wewe unasemaje?View attachment 471956
Umenikumbusha inspector Haroun
 
Mi ningetamani hii operesheni ingemkuta anavojua na kupenda kuongea na vyombo vya habari angebwajaja sana
 
makaburi yote yafukuliwe. kama kuna hakimu alifuta kesi enzi hizo ataadibishwa kwa kufanya hvyo ,kwanini na askari wa enzi hizo asiadibishwe kwa kusababisha biashara kushamiri.
 
Usanii ulikuwa mwingi sn kipindi cha huyo mzee,, anachukua siraha kuuu kuu store,, anaita waandishi wa habari na kusema ,, wamepambana na majambazi hatimaye wamewanyang,anya siraha,, hapo anaonyesha,,

Lakini Issue ya Madawa na kule Bandarini hakuwahi sema lolote,, kumbe kuna Koki kule imefungwa makusudi,,
 
Back
Top Bottom