Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,684
watu wakkaweka picha ya nape na wema
Hata mm tangu nizaliwe hiyo ndo nimeiona hoja mubashara ya Nape
Issue ya Madawa ya kulevya ni very sensitive.Imagine unafanya kazi kwenye Kampuni kama TBL au ITV ghafla unatuhumiwa unauma.ngada kitu cha kwanza anachofanya muajiri wako ni kukusimamisha kazi au kukufukuza mpaka pale utakaposafishwa.Nani atakusafisha??Ona namna wanachama wa CCM wanavyomtukana na kumdhalilisha Mbowe hivi Kuna MTU Anajua ukweli wa Manji,Mbowe na Gwajima?? Kikichotakiwa ni kwa Polisi kuwaita watuhumiwa kuwachungiza na kama wanaona makosa Hapo ndipo wanaweka tuhuma za madawa hayo.
Hivi Makonda ataweza kuomba radhi aliowachafua??Issue imekaa kishkaji zaidi,kusema,makakati wa kuchafuliana maisha,chuki,visasi na Ubaguzi.
Watanzania tuwe na Upendo tusichukiane hivi kiatu hiki ukikivaa wewe au Mimi kinakuwaje??
Nilitegemea Sirro na IGP pamoja na Mwanasheria Mkuu,Waziri wa mambo ya ndani, waziri wa sheria wamuase Makonda.