Nashindwa kuelewa kwa nn watu wengi hawakumuelewa Nape Siku anasema suala la Watuhumiwa wa Dawa za kulevya inabidi lishughulikiwe kwa Busara na alipozungumzia suala la Brand watu walikimbilia Brand za wasanii, sasa naanza kukundua kumbe Leo YANGA na CHADEMA nazo ni Brand.
Swali lililokichwani kwangu kwa sasa ni kwa nn Watanzania wengi tulishindwa kumuelewa na wengi wakadhani anatetea watuhumiwa wa Madawa ya Kulevya. Kuna neno HAKI + WATUHUMIWA.
Watu walianza kujadili WATUHUMIWA wakasahau mzizi wa hoja ya Nape ambayo ni HAKI.
Nimeanza kumuelewa NAPE na hadi Mwisho wa huu upepo nadhani watu wote tutakuwa tumemuelewa Nape.