bei ya cement huko nyuma imekuwa ikishuka na kupanda bp ya mgonjwa. ujio wa dangote umeiweka bei ishuke na itulie. wananchi tungependa kuuziwa bidhaa kwa bei nafuu LAKINI isiyo ni mtokeo ya mizengwe ya ukwepaji kodi au taratibu za misamaha ya kodi zenye utata. maelewano ni muhimu, lakini yasiongozwe na wawekezaji kuchukua nyama nono na kutuachia mifupa kama ilivo kwenye madini na makampuni ya kuzalisha umeme.
