Tatizo kubwa ni kuwa bei ya gesi kwa Tanzania ni kubwa sana ukilinganisha na sehemu nyingine na hii inatokana na labda na mikataba ya uchimbaji pamoja na usafishaji wa gesi na hapo ndiyo tatizo lilipoNi wengi sana. Tumpe ushirikiano tu.
Naona huo ndio mwisho wako wa kufikiriAfunge kiwanda asifunge ni maamuzi yake mwenyewe.
Mwekezaji yoyote ni lazima afuate taratibu za nchi yetu na siyo matakwa yake.
Alipoamua kuja Tanzania kuwekeza ni kuwa alifahamu kuwa toka ujenzi mpaka uzalishaji utaratibu utakuwaje wa biashara yake.
Na akienda kinyume na makubaliano na kazi ya Serikali kulinda maslahi ya nchi na mwanainchi wake.
Hakuna mwekezaji yoyote aliyejuu ya Serikali,wawekezaji wamewekewa mazingira wezeshi ya kufanya biashara zao na Serikali itahakikisha usalama wa wawekezaji na biashara lakini kwa kufuata makubaliano na sheria na nchi.
Nami naunga mkono Zitto. awataje hao wanasiasa. Nimechoka na wawekezaji kadhaa, viwanda kadhaa, sasa wanasiasa kadhaa. Mnawaogopa nini kuwataja?Zitto na amtaje huyo/hao wa awamu ya nne wanaohisiwa vinginevyo yeye ZZK ndio analeta utoto na yale mambo ya ff
Mbona unawaza kitoto sana yaani unafurahia dangote kufungwa?ni strategy tu za lobbyin zake ila this time kakwaa mwamba ajikaze
Kama anahitaji nafuu zaidi ya nchi inavyoweza kutoa, na kwenyewe kuna tatizo.yaani tunaua kiwanda kwa sababu ya kuwakomoa wanasiasa fulani?
Sizani kama ni kweli....maana bwana yule wa mtama hakuwa mshindani wa bwana mkubwa...bifu itoke wapi?yaani tunaua kiwanda kwa sababu ya kuwakomoa wanasiasa fulani?
Anao kwani si bima zetu zi talipa? Na km unataka aone utakuwa umefikiri vibaya sana.Smart people huwa hawawafikishi watu wanaowaheshimu mahali pa kujaribu kupigana. Wakijaribu na kushinda ndio umepoteza. KM BHAKHRESA ALIJARIBU NA AKAWEZA KWA KUTISHIA KUFUNGUA VIWANDA AMBAVYO KIUHASILIA VILISHAPANGWA MIAKA ZAIDI YA 5, Na kwa vile waswahili hamsomi historia wal kuwa na kumbukumbu.MKaingia na Jamaa kaenda jicehkesha pale na kuahidi mbingu na nchi kwa mtu aliyekwepa kodi sana.Nauliza tu uwezo anao au ni mkwara tu ili ashinikize matakwa yake ? Na kama anao huo uwezo ni nani atalipa gharama ya uwekezaji wote? Ikumbukwe hiki ni moja kati ya Viwanda vyake vikubwa, sasa Je ana uwezo kupoteza hiyo hela au ndiyo tujiandae kwa Mapinduzi ya Serikali yetu kupindiliwa?