Eeeh,ni kweli hii pia ni habari lakn ya kijinga,ashakum si matusi.
Makhabithi wakubwa hao.
Basi leo jioni mida ya saa mbili kama na robo/nusu jioni watu tunapata mishkaki na hii bia mpya ya Tusker Lite pale Kona Bar, mara kundi la wanaume na wavulana linamfuata dada mmoja huku wanaimba "La kichina, la kichina, la kichina..."
Nimemwona yule dada aliyekuwa anaimbiwa huku anafatwa kwa nyuma, duh! Meeen, yule dada ni mwembamba sana lakini ana hilo wowowo balaa (hafu wowowo lenyewe liko chini chini), bahati mbaya nina kisimu cha tochi ningechukua picha yake.
Ila cha kushangaza ni jinsi wale waliokuwa wanamfata wanavyojifanya kuzomea kumbe wanainjoi kumwangalia, make baada ya kuingia kwenye gari walianza kumwambia toka nje tukuone! La kichina... etc.
Hahahhaa..umenikumbusha mbali na hilo neno hapo.. Hao unawajumuisha na Makhanatha kabisa...!!
Eeeh,ni kweli hii pia ni habari lakn ya kijinga,ashakum si matusi.
Hivi haya matusi ni kiarabu au kiswahili?
Washamba na wamekosa ustaarabu.
They need to mind their business. No matter Kama **** ni real or fake they have no right to harass her.
walikosa kazi ya kufanya hao.
Kumbe watu huwa wanakuimbilia mjini kufanya shughuli kama hizi enhee..?!
Sipati picha mtu uko bize na shughuli zako unapata wapi muda mchafu wa kufanya upumbavu kama huu.
You need to grow up meeeen...,jamani huyo dada mmemkuta mjini..., awe na la kijapani au kifaransa ni lake ni maisha yakke!
Mind your own business meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen!