Mnachekesha sana. Kwa kusudi kabisa, hamuweki kumbukumbu za waliokufa kwa corona wala kupima, ili mkiulizwa muweze kusema leta ushahidi.Weka ushahidi mkuu maneno matupu hayavunji mfupa.
Kuna nyuzi nyingi tu humu za watu waliofiwa na ndugu zao kutokana na corona, mfano kifo cha Padre Shewiyo kama sikosei.