UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,239
- 7,603
Duh! sio kweli tena?sio kweli kuwa wanasikisilizia matokeo ya chanjo. ila chanjo ni kidogo.. hasa kikubwa kinachowasumbua ni kasi ya kusambaa kwa ugonjwa ni kubwa kuliko kasi ya ugawahi chanjo.
lakin pia badala ya kupiga kelele.. tutengeneze chanjo zetu, wanasayansi wetu wame relax sana hawafayi lolote. wanasubiri mzungu atengeneze dawa.
waingie maabara watumie usomi wao.