The weakest presidentThe weakest Parliament.
The weakest Leader of Parliament.
The weakest Members of Parliament from CCM Party.
The strongest CAG.
May Almight God bless our Archbishop Dr. Bagonza .
Sent using
Jamii Forums mobile app
atapigwa na mungu kama alivyompiga faraoSpeaker ametumia kamati ya bunge kumtia hatiani CAG,na bunge limetumika kummaliza kabisa.
Ni wazi CAG amejichimbia mkwala na kuzikwa akiwa hai.
Kwa bunge mchezo umekwisha,wataletewa CAG mwingine.
Gharama za misaada aliyokuwa anaomba na kupewa na Speaker,imemtokea pabaya Raisi Magu.
Ilii kuprove kuwa siyo dhaifu Speaker Ndugai amegeuka kuwa mbogo,na sidhani kama Raisi Magu ana ushawishi wa kuzima hasira za Speaker Ndugai.
Speaker Ndugai ana historia akishafika boiling point harudi nyuma.kumbuka alivyompiga yule daktari hadi akazimia wakati wakiwania ubunge kwa tiketi ya CCM jimboni kwao.
CAG jiandae kupewa Ubalozi Zambia.
Nami nasema BUNGE la chama kimoja siyo bunge. Ni genge linalotaka kuabudiwa ktk maswala ya msingi. Ni kweli bunge la chama kimoja ni kibogoyoAmeandika Askofu Benson Bagonza (PhD)
YAMETOKEA, Itakuwaje sasa?
Kuna maswali magumu mbele yetu baada ya bunge kupitisha uamuzi wa kihistoria tarehe 2 Aprili 2019.
1. Je, Bunge limepitisha azimio la kutofanya kazi na Prof. Assad au na CAG?
2. Kama ni Prof Assad, basi Bunge bado linaweza kufanya kazi na CAG Assad.
3. Kama Bunge halitafanya kazi na CAG, linamuingiza Rais ktk mgogoro mkubwa wa Kikatiba, kwa sababu:
- Ndani ya siku 7 tangu kupokea Ripoti ya CAG, Rais anatakiwa kuipeleka Ripoti Bungeni iliyofanywa Kazi na CAG ambaye ni Prof. Assad.
4. Asipoileta atakuwa amevunja Katiba ya Nchi aliyoapa kuilinda.
5. Akiileta, atakuwa amelidharau Bunge wakati naye ni sehemu ya Bunge.
6. Akiteua CAG mwingine, huyo mpya hatakagua upya bali ataleta iliyokaguliwa na CAG Prof. Assad ambaye hatakiwi Bungeni.
7. Katiba inatamka kuwa; mchakato wa kumuondoa CAG ni mrefu na iko kimya kuhusu kuendesha mchakato wakati kuna Kaimu CAG.
Ukiwahi kuzaliwa unaona mengi. Ukiwahi kufa unakosa mengi.
Dumisha Uhuru na Umoja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Gwajima ee?Askofu Bagonza apewe ulinzi jamani.
Ushauri tu.
Yeye ndio head of office. Means ni mwakilishi wa ofisi kwa cheo chake alichonacho.Kwani aliyedharau bunge ni CAG au Assad?
Ofisi ya CAG haikuwahi kutoa ripoti ya kuwa bunge ni "dhaifu" ila Assad baada ya kukaa kwenye kiyoyozi akabwatuka kuwa bunge ni dhaifu.
Bunge linataka CAG Mwingine na sio huyu anayeliita bunge dhaifu kwa kutumia "akili" zake badala ya evidence kama taaluma yake inavyomtaka.
Mfano:
Askofu Bangoza anaropoka mambo ya kisiasa kama Bangoza na sio hiko cheo cha uaskofu.
Kuna tofauti kubwa kati ya askofu bagonza na gwajima.Kama Gwajima ee?
Unaongelea au aliongekea ripoti gani?Yeye ndio head of office. Means ni mwakilishi wa ofisi kwa cheo chake alichonacho.
Na sidhani kama kabwatuka.. maana alipeleka report kwa rais kwa muda mrefu.. na hiyo report haikupelekwa bungen kwa wakati. Kwa lugha ya kiahasib hapo kuna dosari...
Sent using Jamii Forums mobile app
Usomi wa Askofu Bangoza ni wa nini?Kuna tofauti kubwa kati ya askofu bagonza na gwajima.
Askofu bagonza ni askofu msomi kama dhehebu lake linavyohitaji kuwa ili uwe askofu lazima uwe msomi.
Askofu gwajima ni uaskofu wa kujiita tu. Lakin hauna usomi wowote.
Pili gwajima haitaji ulinzi maana anao wa kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Red guard wa chadema wapo kumlindaAskofu Bagonza apewe ulinzi jamani.
Ushauri tu.