Sijui kwanini wakiristo hawa wa chini wasifate mawazo pengo kiukweli anaona mbali baadhi ya wakati
Hatupendi kuchukia waislam lakini ki ukweli ni kwamba waislam wana bifu na kanisa katoliki ndiyo maana ukiangalia wanao lengwa ni wakatolic, kuanzia zanzibar hadi Arusha. waislam wanasema kanisa linaongoza serikali
Taratiiibu hoja hii inaniingiaKama ni tukio la kigaidi mrusha bomu angekwenda kulirusha pale kilombero sokoni au soko kuu ambako kuna mkusanyiko mkubwa zaidi wa watu.Funika kombe mwanaharamu apite.
chezea serikaki wewe? Pengo kashapewa ahadi ya kubebwa na serikali katika mfumo kristo, haiwezekani tukio kama hilo litokee kanisani, halafu mtu anakanusha hili halihusiani na masuala ya kiimani! Wakristo hata viongozi wa dini wanaongwa!Jana katika kujadiri azimio la bunge katika kulaani na kupinga kitendo cha kigaidi kilichofanywa na watu wasio julikana katika kanisa katoliki huko Arusha, wabunge wote bila kujari itikadi za vyama vyao wala imani zao za kidini walionyesha kuamini kuwa tukio hilo linatokana na imani za kidini kulaani na kuonya juu ya mtafaruku unaoendelea kujitokeza kati ya wakristu na waislam.
Hii ni tofauti kabisa na tamko la kardinali Pengo ambaye kwa intelijensia yake ametamka kuwa shambulizi hilo alihusiani na na maswala ya kiimani.
Lakini mimi naomba kujua, hivi msimamo wa bunge na tamko la Pengo haviingilii uchunguzi wa polisi?
Hii ni kutokana na kwamba bunge lishajiaminisha na kuamisha watanzania walio wengi kwamba shamulizi hilo linatokana na mpasuko wa kidini unaolikumba taifa letu na huku Pengo kajenga imani na kuaminisha wengine kwamba shambulizi hilo halina mahusiano yoyote na maswala ya kiimani.
Wakuu mie naona pande zote mbili yaani Pengo na bunge wamewahi mno kutoa kauli zao kwani polisi inaweza kuja na matokeo ya uchunguzi yakiwa kinyume kabisa na imani ya matamko yao, je watakubali?
kwenye mfumo kristo kama tanzania hawawezi kuthubutu, lakini ingekuwa nchi zingine kama marekani, vyombo vya usalama vingemhoji pengo!kama polisi wanajua kazi yao barabara wanatakiwa wamkamate Pengo kama shahidi namba moja
Sijui kwanini wakiristo hawa wa chini wasifate mawazo ya pengo kiukweli anaona mbali baadhi ya wakati
Mi naona Pengo alifanya hivyo kupunguza hasira wakristu dhidi ya waislamu. Ikumbukwe baada ya lile tukio humu jamvini na mitaani, watu washajenga chuki na waislamu kitendo ambacho kingehatarisha amani. Mi binafsi na'pongeza kwa kuona mbali.
Jana katika kujadiri
azimio la bunge katika kulaani na kupinga kitendo cha kigaidi
kilichofanywa na watu wasio julikana katika kanisa katoliki huko Arusha,
wabunge wote bila kujari itikadi za vyama vyao wala imani zao za kidini
walionyesha kuamini kuwa tukio hilo linatokana na imani za kidini
kulaani na kuonya juu ya mtafaruku unaoendelea kujitokeza kati ya
wakristu na waislam.
Hii ni tofauti kabisa na tamko la kardinali Pengo ambaye kwa
intelijensia yake ametamka kuwa shambulizi hilo alihusiani na na maswala
ya kiimani.
Lakini mimi naomba kujua, hivi msimamo wa bunge na tamko la Pengo
haviingilii uchunguzi wa polisi?
Hii ni kutokana na kwamba bunge lishajiaminisha na kuamisha watanzania
walio wengi kwamba shamulizi hilo linatokana na mpasuko wa kidini
unaolikumba taifa letu na huku Pengo kajenga imani na kuaminisha wengine
kwamba shambulizi hilo halina mahusiano yoyote na maswala ya kiimani.
Wakuu mie naona pande zote mbili yaani Pengo na bunge wamewahi mno kutoa
kauli zao kwani polisi inaweza kuja na matokeo ya uchunguzi yakiwa
kinyume kabisa na imani ya matamko yao, je watakubali?
sio kuongwa we unafikiri kama angesema la kidini angepanda mbegu gani kwa wakristo coz hakuna ambaye angeamini kuwa aliyerusha bomu ni mkristo mwenzake sote tungeamini ni waislamu coz ata mi nilishaanza kuchukia.chezea serikaki wewe? Pengo kashapewa ahadi ya kubebwa na serikali katika mfumo kristo, haiwezekani tukio kama hilo litokee kanisani, halafu mtu anakanusha hili halihusiani na masuala ya kiimani! Wakristo hata viongozi wa dini wanaongwa!
Ukweli Askofu pengo alipo pata taarifa ya bomu la Arusha,kama kawaida yake alitoa tamko safari hii kwa haraka kwa kukosea ,alisema mtu kamupa taarifa na anamwamini sana huyo mtu na kwamba kupitia kwa huyo mtu hilo tukio hali husu, dini eti ni la Kigaidi ukweli kauli ya pengo imekatisha tamaa watu hasa intelectuals viona mbali kuwa hawa kwel i viongozi wamejua kwa kuambiwa yaani hata uongo yeye basi alikuwa amwamini mtu huyo kanakwamba huyo mtu ndiye alitengeneza bomu hilo na amemupa ukweli pengo, au huenda wengi walijiuliza kuwa sio udini ni ugaidi kwani aliye umizw a ni mwananchi wa kawaida na siyo mwakilishi wa papa hapo ndipo matamuko ya kuwa ni udini yange semwa,binafsi watu pamoja na pengo wame conclude mapema mno na kuwa i natia shaka haija washitua kabisa,viongozi hawa mi nafikiri bado viongozi wadini na serikali waache matamko ya haraka haraka na yasiyo na tafakuri kwani wabaya watatumaliza wakiona wamefanya na watu wanawasemea ,AMEN

Kadinali Pengo na serikali wange kurupuka na kusema ni udini na wamepata habari kutoka kwa watu wanao aminika ungetia shaka yoyote? Jibu ni hapana, why now? Wote tu laani vitendo vya ugaidi haina tija ktk maendeleo ya nchi yetu.Ukweli Askofu pengo alipo pata taarifa ya bomu la Arusha,kama kawaida yake alitoa tamko safari hii kwa haraka kwa kukosea ,alisema mtu kamupa taarifa na anamwamini sana huyo mtu na kwamba kupitia kwa huyo mtu hilo tukio hali husu, dini eti ni la Kigaidi ukweli kauli ya pengo imekatisha tamaa watu hasa intelectuals viona mbali kuwa hawa kwel i viongozi wamejua kwa kuambiwa yaani hata uongo yeye basi alikuwa amwamini mtu huyo kanakwamba huyo mtu ndiye alitengeneza bomu hilo na amemupa ukweli pengo, au huenda wengi walijiuliza kuwa sio udini ni ugaidi kwani aliye umizw a ni mwananchi wa kawaida na siyo mwakilishi wa papa hapo ndipo matamuko ya kuwa ni udini yange semwa,binafsi watu pamoja na pengo wame conclude mapema mno na kuwa i natia shaka haija washitua kabisa,viongozi hawa mi nafikiri bado viongozi wadini na serikali waache matamko ya haraka haraka na yasiyo na tafakuri kwani wabaya watatumaliza wakiona wamefanya na watu wanawasemea ,AMEN