Nsera Ndawani
Senior Member
- May 5, 2013
- 136
- 38
ili kuondoa utata wa matamshi hayo ni vema akaitisha mkutano na waandishi wa habari akaweka bayana
ili watu waelewe na serikali ilifanyie kazi
sijajua ni kwa nini serikali inakuwa na kigugumizi
amesema hana shaka na matamshi yake. serikali inangoja nini? Au inahusika?
Vipi jumapili ijayo walipuaji watatokea Mascat au?kwa hili pengo anastahili pongezi sana,
Mkuu Nsera Ndawani,
Hebu tuwekee CHANZO, maana napata ukungu kuamini mabandiko yako kwa habari hii.
Dar es Salaam/Arusha. Kadinali Pengo alisema amepata taarifa kutoka kwa watu ambao hana shaka nao.
Jana (juzi), niliongelea kwamba suala zima la tukio la Arusha halihusiani na imani yoyote ya kidini. Tamko hilo nilitamka kutokana na taarifa nilizofikishiwa na watu ambao sikuweza kuwa na shaka kwamba wanaoniambia ni kweli na sidhani kama ningekuwa na sababu ya kusema wamefika kwa kunidanganya kwa hiyo tamko litakuwa limesimama juu ya msimamo huo, alisema Kadinali Pengo na kuongeza:
Vipi jumapili ijayo walipuaji watatokea Mascat au?
Msimlishe maneno Pengo. Mbona waislam mnahangaika sana? tulieni mbivu na mbichi zitajulikana tu
Jumapili ijayo nafiki atakuwa Joseph, John na Anderson.Vipi jumapili ijayo walipuaji watatokea Mascat au?
Sasa unachobishania ni nini? Au wewe ni miongoni mwa mahekalu ua shetani.
Pengo siku hizi kawa Mwislam mtamkataa hata Yesu akisema hayo maneno.Nyie mnachotaka mwislamu ahusishwe ndo mkubali Shame on you
siri gani we mwendawazimu hapa chadema hawachomoki.