Sakata la Bashite: TLS nendeni Mahakamani mapema

Ukistajaabu ya Mkolomije utayaona ya Mkolomije mwingine.



 
Mkuu Salary Slip na wakuu wengine humu imekuwaje huu uzi kufungwa? Kulikoni!?

Live on Star TV: Je, Daudi Bashite atajibu maswali haya?

CC: Pascal Mayalla

 
[emoji1][emoji1][emoji1]bashite ujue hamnazo kweliii..ile ndonga kubwa ila empty kabisaaaa...angejifungiaga tu ofisini kwake achane na ishu za interview zitammaliza[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Wewe huoni majaji wanavyoulaza?Mahakama haina meno maana Mkulu ameamua kufa na Bashite.Nadhani dawa iliotengenezwa lazima Mkulu amkumbatie Bashite kwa gharama yeyote sio bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…