Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,631
- 164,741
STL na STK siku hizi zinabeba wachungaji?Nilitarajia leo anakuja na vyeti. Dah kwel jamaa alipata zero ila mfumo umembeba. Eti sio mtumishi wa umma.
Rating zeroJamaa nilijua atatumia Fursa ya leo vizuri ila wapi!
Ukiwaangalia vizuri hata wale waandishi walk disappointed sana!
Walichotegemea Na reaction wanayoiona tofauti
Comment on what he has said Brother and not bla bla!kumbe mmemsikiliza
Kwa faida ya nani?Mh.Lissu na TLS mahala pekee panapoweza kumfanya Bashite aseme ukweli kuhusu vyeti vyake na majina yake halisi ni mahakamani tu kwasababu huko akikwepa kujibu maswali ndio atakuwa amejimaliza /amejihukumu.
Kwahiyo nawashauri mfungue ile kesi mlioahidi kuifungua mapema maana ni wazi mtashinda hii kesi na huko mahakamani sioni kama atajibu maswali zaidi ya kuumbuka.