Umejichelewesha mwenyewe kwa kukosa akili kichwani mwako.Nyerere huyo huyo katuchelewesha sana
Ova
Umejichelewesha mwenyewe kwa kukosa akili kichwani mwako.Nyerere huyo huyo katuchelewesha sana
Ova
Ingefaa apewe nani mkuu??
Mkuu hakuna mtanzania hata mmoja aliyeongea kwa ajili ya kupinga huo uwekezaji. Waongeaji wote hakuna mwenye shida na Do world.
Tatizo Ni vipengele vya mkataba.
a..Mkataba hauna unkomo. Hivyo haijulikani wanakuja kukaa miaka mingapi
Nb:Waziri Mbarawa anasema Hadi shughuli za bandari zitakapoisha. Ni kituko!
b.. kingine:ikiwa itatokea shughuli au fursa yoyote ktk shughuli za bandari Basi watatarifiwa wao kwanza. Maana yake Watanzania hatuwezi kufanya lolote ktk Hiyo bandari Bali kwa ruhusa yao. Ni km Sasa Ni mali yao.
C.. mkataba hauzungumzii fursa za ajira kwa Watanzania.
D... Kiasi Cha fedha kinachowekezwa nk
Nb:kumbuka Hawa Dubai ndiyo washindani wetu wakuu ktk sekta ya bandari.
Pamoja [emoji1666]Sijasoma hayo mengine uliyoandika huko chini, kwa sababu ya upotoshaji ulio wazi uliouweka hapa, ni wazi huna lolote la maana la kueleza.
Ni mpiga 'propaganda' tu kama hao wengine wanaojazwa tumbo ili wanyofoe ubongo wao kichwani.
Shukrani kwa majibu mazuri na Kuna mengi serikali inayotakiwa kuyazingatia kwenye hivyo vipengeleMkuu hakuna mtanzania hata mmoja aliyeongea kwa ajili ya kupinga huo uwekezaji. Waongeaji wote hakuna mwenye shida na Do world.
Tatizo Ni vipengele vya mkataba.
a..Mkataba hauna unkomo. Hivyo haijulikani wanakuja kukaa miaka mingapi
Nb:Waziri Mbarawa anasema Hadi shughuli za bandari zitakapoisha. Ni kituko!
b.. kingine:ikiwa itatokea shughuli au fursa yoyote ktk shughuli za bandari Basi watatarifiwa wao kwanza. Maana yake Watanzania hatuwezi kufanya lolote ktk Hiyo bandari Bali kwa ruhusa yao. Ni km Sasa Ni mali yao.
C.. mkataba hauzungumzii fursa za ajira kwa Watanzania.
D... Kiasi Cha fedha kinachowekezwa nk
Nb:kumbuka Hawa Dubai ndiyo washindani wetu wakuu ktk sekta ya bandari.
Hilo ni jinga tu.Kelele hazikuwa ndogo wakati wazungu wanapewa gesi. Nyerere aliwakatalia wazungu kuchimba madini.
Nonsense.Hawana hoja ya msingi na hawaeleweki.
Ni chuki tu na vita vya kiuchumi. Hakuna lolote lingine la maana!!
Washindani? Haahaaa embu tuwe serious mkuu!!Nb:kumbuka Hawa Dubai ndiyo washindani wetu wakuu ktk sekta ya bandari.
UnapotoshaKinacho pingwa ni kwa nini apewe muarabu
Kwanini tusiwape wenye ufanisi watuendeshee ? Kwani lazima tuwape the kitchen sink ?!!!My take: Tunatakiwa tuwe makini sana na vipengele vya kwenye mikataba yoyote ya kiuwekezaji inayofanyika nchini na kuhakikisha tunakwepa unyonyaji wa aina yeyote lakini pia nina uhakika kuwa sisi kama watanzania bado hatuna ufanisi wa kuendesha bandari (hili limethibitika kwenye kila sekta inayoendeshwa na serikali kuanzia TANESCO, Idara za maji, Reli, TTCL n.k)
Samahani naomba unifafanulie maswali yako mawili ya paragraph ya kwanza mkuuKwanini tusiwape wenye ufanisi watuendeshee ? Kwani lazima tuwape the kitchen sink ?!!!
Watu mnachoshindwa kuelewa mwekezaji lazima apate faida asipopata faida ni kodi zako ndio zitamlipa kufidia hasara; Kuna vitu ambavyo ni commanding heights, kuna vitu ambavyo vinatoa huduma (maji, umeme) hivi kuvibinafsisha ni kujitafutia matatizo makubwa sana...
By the way wewe mwekezaji umekatazwa kuwekeza kwenye umeme. Nenda vjijini wapelekee solar kama walivyofanya Mobisol uone kama kuna mtu atakusumbua..... Ila sio tumengoja kodi zetu zinamaliza Bwawa na kuongeza capacity ndio KUPE wanaanza kuja eti UMMA hauwezi kuendesha apewe fulani.... Hapo nyuma NBC walipewa kina Fulani bado wakalalamika na branch zote za mikoani wauziwe sababu eti NBC ni too Big....
Shida ya watanzania kushindwa kuendesha ni nini ? (Kwanini tusitafute hio shida ili tuanze kuitibu kuliko kuwarisisha vituu mikataba ya kuendelea kuwa manamba sababu ya uzembe wetu sisi)Samahani naomba unifafanulie maswali yako mawili ya paragraph ya kwanza mkuu
Shida ya watanzania kushindwa kuendesha ni nini ? (Kwanini tusitafute hio shida ili tuanze kuitibu kuliko kuwarisisha vituu mikataba ya kuendelea kuwa manamba sababu ya uzembe wetu sisi)Samahani naomba unifafanulie maswali yako mawili ya paragraph ya kwanza mkuu
Hayo yote uliyosema ni Sawa ila shida kubwa kwetu watanzania HATUKO TAYARI KUBADILIKA mindset za vijana wa kileo zinawaza upigaji Leo kijana akiajiriwa anawaza upenyo wa kupiga pesa,Sasa mtu mwenye mindset hiyo ndo umkabidhi bandari hivi utakuwa unajipendaShida ya watanzania kushindwa kuendesha ni nini ? (Kwanini tusitafute hio shida ili tuanze kuitibu kuliko kuwarisisha vituu mikataba ya kuendelea kuwa manamba sababu ya uzembe wetu sisi)
Mambo kama Bandari sio manual labor tena kuna automation ya kutosha; hivyo basi kama shida ni automation kwanini tusinunue na kuwekeza (kama shida ni technical know how; kwanini experts wasije na kutufundisha) kama shida ni utamaduni wa wizi (kwanini sheria zisichukue mkondo wake) ?
Mimi shida katika haya mambo sio Bandari Per-se bali ni mentality mbovu ya kudhani kwamba hakuna unachoweza na utamleta mtu akufanyie kila kitu kila mahali na bado ubaki na percentage kubwa - Badala ya kuwaza kufanyiwa, tungewaza kampuni zetu ziende kufanyia watu wengine huko kwao....
Ila ndio hivyo Mentality yetu inapiga hatua kuelekea nyuma siku baada ya siku....
Binafsi mimi hao jamaa ningewapa huko Tanga au Kigoma wakajinafasi na hapo Dar hata hayo Magati tofauti ningewapa wawekezaji tofauti kwa lease fupi fupi za kama miaka mitano mitano na kila anayechemsha anapigwa chini na mwingine anaomba (after all kama tumeshindwa kuwasimamia hawa Wamatumbi pindi wanapoiba unadhani unaweza ukaisimamia a Multi Corporation ili isiibe ?) Au watakwambia sababu tumepata Hasara au Covid 3.0 imekuja hivyo itabidi badala ya sisi kukulipa mtulipe hasara ya tuliyowekeza ? (After all kama kuna 10% unadhani watu wetu watakataa)
Au wakitumia Hii Bandari kama Collateral ya kwenda kuombea mikopo ili kuchukua Bandari nyingine kadhaa (nani wa kuwabishia ? Na siku wakienda Pear Shaped ndio hivyo vitu kupigwa mnada)
Acha kupotosha.Kinacho pingwa ni kwa nini apewe muarabu
Hapana mtu wa mindset hiyo haumkabidhi Bandari bali unaanza kubadilisha mindset kwamba unaweza kujifania mwenyewe Management unamkabidhi yoyote mwenye tija zaidi kwa manufaa ya UMMA (people centered development) na sio kumkabidhi yoyote ili apate pesa maradufu na wewe akugawie kidogo (after all wanachofanya wao sio rocket science, watakachofanya ni kwenda kununua mashine kule kule ambapo nyie mgenunua na wala hawatatoa pesa yao mfukoni bali watakopeshwa kwa kutumia asset zile zile mlizowapaHayo yote uliyosema ni Sawa ila shida kubwa kwetu watanzania HATUKO TAYARI KUBADILIKA mindset za vijana wa kileo zinawaza upigaji Leo kijana akiajiriwa anawaza upenyo wa kupiga pesa,Sasa mtu mwenye mindset hiyo ndo umkabidhi bandari hivi utakuwa unajipenda
Unakimbilia wapi au nani amekwambia kizazi hiki ndio cha mwisho ? wewe fanya unapoweza wengine watakuja na kuendelea sio kuwajengea misingi ya ajabu wengine au kubomoa misingi itakayowagharimu wengineNa ukisema uanze kubadilisha mindsets za hao vijana Hilo zoezi linahitaji uongozi thabiti siyo kama huu tulio nao Sasa hv na pili ni zoezi litakalochukua muda mrefu
Sisi kina nani utamaduni wa sasa wa kuona wizi ni ujanja hapo miaka 20 iliyopita hatukuwa nao; mindset ya kufanyiwa kila kitu kipindi cha self reliance (Kujitegemea) wala kilikuwa hakipo hayo yote ni mageni....chukulia mfano kwa nchi za Asia (Singapore, Korea kusini,China n.k) ndo zilizoweza kufanikiwa katika Hilo zoezi na walitumia nguvu kubwa kweli kweli ambayo sisi hatuna hata mpango wa kuelekea huko