SACO
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 2,321
- 2,914
time will telMbona hapelekwi mahakamani?
time will telMbona hapelekwi mahakamani?
Sawatime will tel
Unauliza watatokaje? Kelele za chura zilimzuia ngombe kunywa maji au kama jk asemavyo kelel za mlango.
Kama mleta hoja angekuwa mtu wa haki ingekuwa so. Huu ni mchezo kama wa yule dakitari shika. Itapendeza kusema tu.
niliwahi kusikia chama cha mapinduzi kilitaka kujinunulia vodacom kama kitega uchumi chake...Lowasa na aliyeku katibu wa chama wakawazunguka wakainunua wenyewe ...nasikia ilikua ni bonge la hujuma kwa chama wakati wanapanga lowasa alikuamo ndani na katibu kama kawaida aliandika muhtasari but mwisho wakachomoka na wazo...the same counting kwa deals nyingine sio rahisi kumkamata lowasa coz anajua maana ya management vema perform the duty through other people and archive alone .....tafuta ugomvi wake na malechela, na jakaya..na Nyerere wote walibaki kumind tu but hawakuwahi kusema lowasa kawafanya nini exactly...Lowasa alifisadi vodacom
kha jamaniChenkapa hatoguswa,maybe Mwandosya,Chenkapa akimgusa atamuita tu ile misamiati yake,Lofa, pumbavu me ndio nilikupigania ukawa raisi wa Danganyika vinginevyo angekuwa Benye Maembe!!!
tatizo ni kwamba anafunua anasambaza uchafu alafu unauacha wazi hamna cha maana atakachokifanya hata kwa hili hatafanya lolote ...refer makinikia...watumishi hewa...TRA...Bandarini....sukari ya bakhresa ....mapato cjui kupanda hamna kitu....Nilitegemea sana kuona sisi wananchi tukimsapot rais wetu maana anagusa sehemu ambazo zilikuwa haziwezi kuguswa.hakika mimi napongeza sana JPM kwa ushujaa wa pekee hakika anastahili kupongezwa na kupewa all support
Amelalamika sana serikali ya awamu ya 5 imemtalenga,sasa amehusishwaMwandosya jamani
Warioba huyu huyu Mzee wa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa?Jana Rais wa JMT mhe.. JPM amepigiilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la Bharti Airtel kwa kumwagiiza Waziri wa Fedha kufanya uchunguzi uhamishaji wa hovyo wa hisa za TTCL toka Cellnet, Celtel, Zain na sasa Airtel!!!
Ufisadi huu ulifanyika chini ya Utawala wa A3 ya Mzee Mkapa akisaidiana na Waziri wa Mawasiliano waktii huo Mzee Mark Mwandosya,, Mwanasheria Mkuu Chenge na Jaji Warioba aliyekuwa Board Member akiiwakilish upande wa TTCL na Serikali......?!!!
Karibu tujadiili!
Mwenyewe alishangaa kusikia watu wakisema jk hachomoi, aliuliza kwani kachomeka nn??Ulishaambiwa mzee nkapa atulie ale uzee hakuna wa kumgusa halafu wewe unauliza atapona daah
Hii ni sawa na kusema mkwere hachomoi kwa ... hali hajachomeka popote
Pandora BoxBwana mkubwa aliwahi kusema ya kuwa kuna makaburi mengine hayafai kuyafukua, maana ukithubutu kufanya hivyo utakutana na mambo mengine ambayo huwezi
Nilitegemea sana kuona sisi wananchi tukimsapot rais wetu maana anagusa sehemu ambazo zilikuwa haziwezi kuguswa.hakika mimi napongeza sana JPM kwa ushujaa wa pekee hakika anastahili kupongezwa na kupewa all support
Una maanisha nini.....!!
Kwamba this is another Isindingo series like Makinika.....??
Kama ni hivo basi CCM na Magufuli wao hakika wanajua kucheza na akili za WATANZANIA WANYONGE WASIOJITAMBUA...Hakika wataendelea kupata Tuzo za Mo Ibraahim mara duble duble.....!!!
Maskini Tanzania, maskinii TTCL.....Hadi lini tutaendelea kutumika na Serikaali ya CCM kama TT....???