Sakata la Airtel: Mkapa, Mwandosya, Warioba na Chenge wataponaje?

Nyumba za serikali zilizouzwa nazo zichunguzwe

Mv DSm kambi ya upinzani walisema ufujaji ufisadi walibenzwa na ushahidi walitoa wakasema boat si jipya na gharama ni kubwa iliyotumika wakati mzee Bakressa Azam ni bei ndogo na safi. Je leo boat ipo wapi?

Nissan jeupe lileeeeeeeeee

nimecheka hiyo clause ya mwisho
 
Jana Rais wa JMT mhe.. JPM amepigiilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la Bharti Airtel kwa kumwagiiza Waziri wa Fedha kufanya uchunguzi uhamishaji wa hovyo wa hisa za TTCL toka Cellnet, Celtel, Zain na sasa Airtel!!!

Ufisadi huu ulifanyika chini ya Utawala wa A3 ya Mzee Mkapa akisaidiana na Waziri wa Mawasiliano waktii huo Mzee Mark Mwandosya, Mwanasheria Mkuu Chenge na Jaji Warioba aliyekuwa Board Member upande wa Celtel akiwakilisha upande wa TTCL na Serikali......?!!!

Karibu tujadili!
Watapona. Mkuu wa kaya aliishatamka hafukui makaburi.
 
NILIKUA NAJIULIZA UKIMYA WA LOWASSA NI KWA NINI??

KUMBE KASHAMBIWA UKIBEEP TUNAPIGA

SASA JPM ANAPIGA...NAONA 2020 ATASIMAMA MBOWE
Mimi pia nilikuwa najiuliza hawa wazee wastaafu pongezi za nini kwa awamu ya 5!!!! Kumbe wanamwogopa asije akafukua makaburi kama haya. Maana nilishangaa akipata kanafasi tu anamtungua mwezake kwa vijembe lakini alipopata nafasi kwenye mkutano mkuu wa chama akapiga kijembe tena afu akamalizia na kawimbo kakumsifu ''Tunaimani na ...... eeh oya oya oya".
 
Raisi Magufuli anataka kutoboa taili na kusababisha pancha.
Sijui anamlenga nani wakati wahusika wakuu wana kinga ya kutoshtakiwa au waliokuwa wasaidizi wakitekeleza maagizo kutoka juu.
Kama kweli ana nia ya dhati,apeleke mswaada wa kufuta kinga ya kutoshtakiwa tokea tupate uhuru.Kwa msaada zaidi aonane na utawala wa Korea Kusini ambapo maraisi wengi wamefungwa maisha au wamenyongwa sababu ya ufisadi.
Lakini kama atawalinda kama alivyohaidi basi aachane na huo wimbo.
 
Hahahaha chenge once again..in these big deals you will always find the mtemi chief
But sadly no one can touch him even the grisi vyuma man

Chezea Chief Chenge wa Ntuzu......!!!
Magufuli mwenyewe akisiikia jina la Chenge anajinyea....!!! Huyu Mnyantuzu alishashindikana.....!
 
Back
Top Bottom