Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,697
- 9,048
Jana Rais wa JMT mhe.. JPM amepigiilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la Bharti Airtel kwa kumwagiiza Waziri wa Fedha kufanya uchunguzi uhamishaji wa hovyo wa hisa za TTCL toka Cellnet, Celtel, Zain na sasa Airtel!!!
Ufisadi huu ulifanyika chini ya Utawala wa A3 ya Mzee Mkapa akisaidiana na Waziri wa Mawasiliano waktii huo Mzee Mark Mwandosya, Mwanasheria Mkuu Chenge na Jaji Warioba aliyekuwa Board Member upande wa Celtel akiwakilisha upande wa TTCL na Serikali......?!!!
Karibu tujadili!