Saka hao Panya Nyumba kwa nyumba!

Saka hao Panya Nyumba kwa nyumba!

Bora tukose wote ikibidi sisi na nyie maccm
ndugu tukifika pakutafuta silaha jua watu wakutupatia silaha wapo wengi sana lakin masharti yao pia ni bora watanzanie wadai haki zao bila vurugu!

Nikupe mifano ya libia iraq na sudani ambako yalitokea kama unayoyataka lakin muda huu tunavyochart hapa watu hawa wanajutia maamuzi yao japo kwakua walichotarajia kukipata baada ya mapigano hakipo tena au pengine hakina dhamani kama gharama walizopata vitanilakin hata hivyo hawana tena lakufanya zaidi ya kuyapokea matokeo yao!
Je na sisi tumeamua kwa dhati kuwaiga hawa? Tumeridhika kurubuniwa na wanaotamani kuiongoza nchi?

Maamuzi yapo mikononi mwetu ila binafsi staunga mkono kuona kila mtu anachokitaka lazima kiwe hinyo, ukivunja amani unastahili hukumu yako, mbona kuandamana inaruhusiwa kisheria kwanini ubomoe miundombinu ya nchi?
 
umefika wakati sasa wa Serikali kuacha upole na kuanza kufanya kazi kama Serikali, tumia vyombo vyote vya Dola ulivyonavyo na kuanza kusaka hao takataka nyumba hadi Nyumba mpaka wote waishe na Amani irejee nchini mwetu, na nashauri anzia na Bungeni!

Unajua maana ya KIJAKAZI!???? basi wewe ni kijakazi cha serikali na unatekeleza matakwa ya BWANA wako.
 
usilolijua nitatizo sana!
watu kupewa kichapo wanapotumia uhuru wao vibaya ni sawa tu, kwan tanzania ndo yakwaanza kutoa kichapo kwa waandamanaji? huwezi kuniambia kwakua hujui mkataba umeandikwa nini ndo uanze kuchoma majengo, we utakua mwehutu!
riot inatokea duniani kote na wala siajabu,nyerere alipeleka maaskari mara na waliweka kambi hapo mpaka pakatulia,mkapa alipeleka maaskari pemba na walipatuliza.

Hata mtwara patatulia tu,na bomba litajengwa.
 
umefika wakati sasa wa Serikali kuacha upole na kuanza kufanya kazi kama Serikali, tumia vyombo vyote vya Dola ulivyonavyo na kuanza kusaka hao takataka nyumba hadi Nyumba mpaka wote waishe na Amani irejee nchini mwetu, na nashauri anzia na Bungeni!
How old are you??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Bora tukose wote ikibidi sisi na nyie maccm

mimi co mwana ccm mkuu wala mwanasiasa ila pia sipendi kufanya mambo kama mgonjwa aliekata tamaa, napenda kujiuliza sana kabla ya kufanya maamuzi yasiyo ya kawaida katika maisha yangu! ninao rafiki zamgu wengi tu ambao kwao hakuna jema kwa serikali kwasababu tu eti wao ni chadema, me bado nawasisitiza watanzania tuzitumie akili zetukatika kufanya maamuzi co kudanganywa na wenye malengo yao!

ninaimani chadema wanafurahia sana vurugu hizi, alafu juzi tu walikua wakiilaumu serikali vifo vya waandishi wa habari lakini leo waandishi wa habari kule mtwara ni miongoni mwa wanaowindwa na wananchi sijui badae watakua na unafki gani tena kwa wananchi!
 
riot inatokea duniani kote na wala siajabu,nyerere alipeleka maaskari mara na waliweka kambi hapo mpaka pakatulia,mkapa alipeleka maaskari pemba na walipatuliza.

Hata mtwara patatulia tu,na bomba litajengwa.

sana mkuu, wanachadema wanadhani wao ni wakwanza kuhamasisha vurugu! mbona walikuwepo CUf na na propaganda zao za mapanga shah shah shah, lakini walitulia, sembuse chadema ambayo hata haidhubutu kuweka wazi kua wao ndo wanashawishi vurugu mtwara kwakuogopa?
 
umefika wakati sasa wa Serikali kuacha upole na kuanza kufanya kazi kama Serikali, tumia vyombo vyote vya Dola ulivyonavyo na kuanza kusaka hao takataka nyumba hadi Nyumba mpaka wote waishe na Amani irejee nchini mwetu, na nashauri anzia na Bungeni!
mkuu unataka serikali itawale au iongoze?
 
Ni bora watu wengine mjikite kaka kuimba mipasho kuliko kuandika Vitu ambavyo hata ajulikan umetumia makalio kufikir
 
acha kustablise mambo wewe mjomba!!!unajua wananchi wananwasaka waaandishi gani!!!?wale wanaojipendekeza kwa govt na kuipamba either kwa ajili ya kulinda kibarua au kwa kuisafisha tu kinafiki kwa maslahi yao binafsi na sio kutoa picha halisi ya mambo na ukweli ulivyo...
sisapoti mauaji wala vurugu ila mgawanyo huu wa ukwasi na rasilimali zetu ndio naupinga zaidi
mimi co mwana ccm mkuu wala mwanasiasa ila pia sipendi kufanya mambo kama mgonjwa aliekata tamaa, napenda kujiuliza sana kabla ya kufanya maamuzi yasiyo ya kawaida katika maisha yangu! ninao rafiki zamgu wengi tu ambao kwao hakuna jema kwa serikali kwasababu tu eti wao ni chadema, me bado nawasisitiza watanzania tuzitumie akili zetukatika kufanya maamuzi co kudanganywa na wenye malengo yao!

ninaimani chadema wanafurahia sana vurugu hizi, alafu juzi tu walikua wakiilaumu serikali vifo vya waandishi wa habari lakini leo waandishi wa habari kule mtwara ni miongoni mwa wanaowindwa na wananchi sijui badae watakua na unafki gani tena kwa wananchi!
 
mimi co mwana ccm mkuu wala mwanasiasa ila pia sipendi kufanya mambo kama mgonjwa aliekata tamaa, napenda kujiuliza sana kabla ya kufanya maamuzi yasiyo ya kawaida katika maisha yangu! ninao rafiki zamgu wengi tu ambao kwao hakuna jema kwa serikali kwasababu tu eti wao ni chadema, me bado nawasisitiza watanzania tuzitumie akili zetukatika kufanya maamuzi co kudanganywa na wenye malengo yao!

ninaimani chadema wanafurahia sana vurugu hizi, alafu juzi tu walikua wakiilaumu serikali vifo vya waandishi wa habari lakini leo waandishi wa habari kule mtwara ni miongoni mwa wanaowindwa na wananchi sijui badae watakua na unafki gani tena kwa wananchi!
Kwani nani atalaumiwa kwa vifo vinavyotokea huko Mtwara?.
 
Kweli kila mtu na mawazo yake

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
umefika wakati sasa wa Serikali kuacha upole na kuanza kufanya kazi kama Serikali, tumia vyombo vyote vya Dola ulivyonavyo na kuanza kusaka hao takataka nyumba hadi Nyumba mpaka wote waishe na Amani irejee nchini mwetu, na nashauri anzia na Bungeni!

Nchi Moja, Watu Wamoja, Mtawala mmoja na Lengo moja. Futa Vyama vyama vyote siasa!

View attachment 94879

Mwenye busara na maneno ya utu wouldn't use such non sense.Aman ni nini?Na je amani unayoitaka yaweza kuja kwa lugha yako hapo?
 
riot inatokea duniani kote na wala siajabu,nyerere alipeleka maaskari mara na waliweka kambi hapo mpaka pakatulia,mkapa alipeleka maaskari pemba na walipatuliza.

Hata mtwara patatulia tu,na bomba litajengwa.

Kapike wewe!!
 
Back
Top Bottom