Saizi ya uume vs nguvu za kiume

The Hood

Member
Oct 16, 2015
47
17
Habari zenu wana MMU,

Wataalamu naomba kujua kuna mahusiano gani kati ya saizi ya uume na nguvu za kiume!
Namaanisha ukubwa au udogo wa uume una madhara gani katika nguvu za kiume?

Karibuni wataalamu

Note: Kama utapost MATUSI au PUMBA then count Yourself Stupid.!
 
you better count me stupid but hapa umeonesha umbumbumbu wako wa kukimbia darasa
 
Mkuu, the more uume unakua mkubwa ndivyo uwezo wa kua mgumu unapungua!!! Sasa sijui huo uwezo wa kua mgumu ndio nguvu za kiume zenyewe.
 
Back
Top Bottom