Saint Ivunga vipi?

Nyetk

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,701
Ni mgomo wa madaktari umemuathiri au kapigwa ban? Maana si kawaida!
 
mh, hata mie cjamtia machoni kwa cku kadhaa. . . hebu ngoja nicheck na ex-mke mwenza CUTE huenda akawa na majibu!
 
Last edited by a moderator:
Anasubiri Boom la mwezi wa kumi...
hivyo mvumilieni kwa miezi hii mitatu ambayo atakuwa hewani kwa kusua sua..

Kwa maelezo zaidi, tembelea Ofisi za Idara ya Habari MAELEZO...

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano JeiEfu...
 
TANMO acha uongo jamani khaa! ngoja aamke
 
Hata wewe mi pia sijakutia machoni tangu jana.

ahaa, pole Judgement mwenzio jana c nlienda church bas mchungaji akasema kutakuwa na mkesha. basi nkawepo huko kwny mkesha mpk asbh . . . karibu church kwetu!
 
Last edited by a moderator:
ahaa, pole Judgement mwenzio jana c nlienda church bas mchungaji akasema kutakuwa na mkesha. basi nkawepo huko kwny mkesha mpk asbh . . . karibu church kwetu!

Hence, mlikesha wewe na Mchungaji ?
Mnakula Injili tu!
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka atakuwa "denti" so ametingwa na masuala ya kubrash GPA kwa visaplimentari, si unajua tena huu mwenzi kwa madenti?
 
Wote wawili na mkewe Mwali sijawaonapo? sijui wako wapi nimewamiss sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…