King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,968
- 98,095
Mkuu bado tunasubiri yale majina ya wauza unga ulioahidi kuyanika. Kini yatawekwa wazi?
Wanasiasa wazushi wanaanzisha bomu wakitegemea wataletewa briefcase kama aliyopewa prezzo.
Mkuu bado tunasubiri yale majina ya wauza unga ulioahidi kuyanika. Kini yatawekwa wazi?
Hili ndo tatizo kubwa la kuwa mnafiki mkuu. HK kasahu kuwa, ni yeye pia ambae huwa anaongea utumbo na kushabikia mambo ya kipuuzi bungeni kisa tu, kiti au CCM inashambuliwa, leo ndo anajifanya kuona hayo madudu
Watu wengi ni wavivu wa kusoma, mnachangia bila hata kusoma habari yenyewe...ile dhana ya JF the home of great thinkers is waning ...we so many small time puppets here unfortunately!
Hoja hii ya kutaka apewe zaidi kama wengine walivyopewa zaidi?Watanzania tunayo matatizo sana.Hata hoja yake ya wabunge kujilipa posho ya sh 430,000/= kwa siku hutaki kuisikiliza? Watanzania tunayo matatizo sana.
Mama yule mbona kazivunja nyingi tu?
Mkuu maana ya Kigwangala ni kwamba iwapo Spika ataingia leo Bungeni na kusema haya Wote mulipwe hizo laki 4 na thelathini basi hoja yake ataiondoa .Huyo Chenge haja chaguliwa leo alikuwa wapi sikuzote kulalamika...nadhani tatizo hapo ni maslahi tu kama ni Kanuni hapana...hapana... Kigwangala asitudanganye na hatudanganyiki