Nimekuwa nikisikia matukio mengi ya wanaume kuwapiga wake zao tena wakati mwingine vipigo vibaya sana pale wanawake wanapowafumania waume zao.
Yaani mwanamke anamfumania mwanaume halafu kibao kinamgeukia mwanamke.
Hii hali inakuwaje?
Naomba kufahamu, hii kitu imekaaje?
hamna kitu kama hikii. inawezekana hii ni tabia ya wanaume katika ukoo wenu
kama hujawahi kuona wee kaa kimya tu. matukio haya yapo sana. sema wanawake wengi hawapendi kusimulia kutokana na mafunzo wanayopewa ya kuwa wavumilivu. mimi nimeona kabisa mwanamke alimfumania mumewe na bado akachapwa makofi kwa madai kwamba kwani anakosa nini hadi awe anamfuatia mumewe.
Nimekuwa nikisikia matukio mengi ya wanaume kuwapiga wake zao tena wakati mwingine vipigo vibaya sana pale wanawake wanapowafumania waume zao.
Yaani mwanamke anamfumania mwanaume halafu kibao kinamgeukia mwanamke.
Hii hali inakuwaje?
Naomba kufahamu, hii kitu imekaaje?
Mwanamke ni mali ya mumewe , amemlipia mahari na bado anaendelea kumtunza kwa gharam kimsingi mwanaume anaruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja lakini kamwe kwa mwanamke kuwatumikia mabwana wawili
Hamna kitu kama hiki
Hii ni counter attack, kabla hajakupiga, mpige hadi akuogope kabisa.
He he he he, wanamme wanavyolalamika kugongewa, ndio wajue wanawake siku hizi wanatumikia mabwana hata 7 kama siku za wiki.
Hadi mwanaume anaamua kutembea nje basi wewe kama mke ujue keshakuchoka. Ukifumania unapigwa kwa vile mwanaume anajaribu kutetea mahusiano yake na kimada wewe unakuwa huna kazi tena kwake.
Mwanamke ni mali ya mumewe , amemlipia mahari na bado anaendelea kumtunza kwa gharam kimsingi mwanaume anaruhusiwa kuoa wake zaidi ya mmoja lakini kamwe kwa mwanamke kuwatumikia mabwana wawili
So unaiunga mkono hyo counter attack?
Ushawahi kumwambia Zombie maneno hayo?