Robertus Jacobus
Member
- Apr 6, 2024
- 72
- 69
🧠 Counselling Psychology Leo: Kazi na Uchovu (Burnout)
"SESSION" Kikao cha ofisini pamoja na client wangu
Client:Counsellor, nimechoka. Nalala saa nane lakini naamka bado nimechoka kazi niliyokuwa naipenda sasa naiogopa.
Counselor:Asante kwa kuja na kusema hilo kwa ujasiri hebu niulize hali hii imeanza lini?
Client:Takribani miezi sita nafanya kazi hadi usiku, simu haipumziki nikipumzika nahisi hatia.
Counselori:Nimesikia umesema umebeba mzigo mzito kwa muda mrefu! Je umeanza kuwa na hasira za haraka au kusahau na kujihisi ganzi moyoni?
Client🙁kimya kidogo) ndiyo hata familia yangu wameanza kunilalamikia.
Client:Hapa ndipo napenda ujue jambo moja: wewe si mvivu na si dhaifu unachopitia kinaitwa "burnout" uchovu wa mwili, akili na hisia unaotokana na msongo wa I mrefu ni hali halisi na inatibika.
Client:Kweli inatibika? Nilidhani nimeharibika.
Counselor:Kweli. Tutaanza kwa hatua ndogo:
1. Ikubali hali yako ya sasa sema "nimechoka" si "nimeshindwa."
2. Weka mpaka mmoja.Chagua jambo moja la kukataa wiki hii.
3. Jipe mapumziko Angalau dakika 10 kila siku bila simu na bila presha.
Kisha tutafanya kazi pamoja kwenye chanzo cha uchovu wako ili kupona kuwe kwa kudumu.
Client:Najisikia nafuu tayari hata kabla hatujaanza!
Counselor:Hiyo umepata natu ni kwa sababu hatimaye umeacha kubeba mizigo yote kichwani peke yako. 💛
💬 wewe unayosoma kama unajiona upo ndani ya mazungumzo haya usisubiri hadi udhurike kabisa.
Kuomba msaada si udhaifu ni hatua ya kwanza ya kupona. Session au kikao ni cha siri, salama na bila kuhukumu.
📍 Karibu ofisini upate session au kikao chako cha ushauri nasihi.
📞 Simu/WhatsApp: +255 748 951 191
📧 Barua pepe:robertusjacobus1@gmail.com
🌐 Tembelea:Figma
📱 Mitandao ya kijamii::Facebook | Instagram | Threads | LinkedIn → Robert James
#CounsellingPsychologyLeo #Burnout #UchovuKupitaKiasi #AfyaYaAkili #UshauriNasaha #RJCounselling #RobertJamesPodcast