Saikolojia kwanini watu wanaondesha brand za magari yanayofanana wanakuwa na tabia zinazofanana

Saikolojia kwanini watu wanaondesha brand za magari yanayofanana wanakuwa na tabia zinazofanana

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,102
Reaction score
14,024
Unakuta gari fulani wamiliki wake ni walevi kinoma ukienda kwenye kumbi za starehe unazikuta kibao zimepaki na wanajuana wakikutana stori zao ni bata na kufuta kisahani.

Ukiwa road ukakutana na bike ya Sinoray kaa kijanja Hao ni machalii wa chuga wazee wa michezo muda wowote anakuchomekea upambane na hali yako

Je huu mfanano wa tabia unachangiwa na nini??
 
Wanaamini hakuna gari ya kuwakalisha kwenye mwendo
😂 Hawa jamaa wanajionaga wanaakili kinoma.

Kuna mwanangu mmoja kila nikionana nae ananipa ushauri mbaya Zaidi ushauri anaonipa au watu ambao ananitolea mifano Yao nawafahamu kitambo saana.

Kwahiyo nabaki bamchora Tu sababu MTU inabidi umskilize Kile anachokwambia.
 
Nikutana na jamaa wa Subaru huwa napunguza mwendo wapite maana wao muda wote wanawaza mashindano tu pamoja na hawa wenzetu wa Mazda CX-5..
Hahahaha 😂😂😂😂😂🤣
Aisee sijui tuna shida gani sometimes huwa nasema mwenyewe kuwa Leo nitaendesha mwendo wa kawaida Sana barabarani lkn ukishapitwa Tu na gari Fulani nasema haiwezekani na Mimi naanza ligi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom