Saikolojia: Fahamu tabia ya hasira, madhara yake na namna za kuishinda

Pole sana, daima makosa na madhaifu ya watu wengine yasikutie hatia na kupoteza dira yako. Ukifanikiwa kuyachukulia makosa na madhaifu ya wengine kuwa ni yao na si yako hence utaishi maisha yako kwa amani.



UOTE="Hornet, post: 34540261, member: 139475"]
Imetokea kwangu pia
Nimejikuta najiweka mbali na watu

Kuna muda nafikiria suicide.
[/QUOTE]
s
 
Imetokea kwangu pia
Nimejikuta najiweka mbali na watu

Kuna muda nafikiria suicide.
Hapana .....usifikirie kitu kama hicho...ila kitu kizuri hapo jaribu kuinteract na watu kuanzia wawili na kuendelea hasa unaohisi watakuwa karibu na wewe ili kupata furaha na kuondoa au kupunguza msongo wa mawazo unaokufanya ufikirie vitu vibaya kutendeka.....tunakupenda na tunapenda uendelee kuwa nasi ktk ulimwengu huu kwani unamchango mkubwa sana ...fahamu hilo mpendwa
 
Kuongea na watu nimeshindwa yaani
Kila ninaemsikiliza naona ananichanganya tu.
 
Kuongea na watu nimeshindwa yaani
Kila ninaemsikiliza naona ananichanganya tu.
Kuna kitu kmja ...najua furaha hailazimishwi....ila mwenyewe pia waweza ifanya kuwa nayo......chukua safar yenye hatua chanya...kuwa na uwanda mpana wa kuikarbisha furaha kwa kwenda sehem kama vle beach,sehem yenye mazngra safi ya kukuvutia na kukufanya kuwa na furaha, sehem zenye maua safi ......n.k
 
mi sijawahi kufikiria suicide bado ila kususa na kulia
Kususa hapana usfanye hvo kwamana unaposusa unajitenga na wenzio taar ....ila badala ake we tulia kwa mda ukiwa mwenyewe ili ile hasira ipungue au itoke kabisa kisha endelea na shughuli uliyokuwa nayo mwanzo na mwenzio ...kutulia binafsi pia n njia ya kuondoa hasira.....
 
Imetokea kwangu pia
Nimejikuta najiweka mbali na watu

Kuna muda nafikiria suicide.
Usiidhulumu nafsi kifikra tena,andiko likawe chachu ya kusonga mbele.

Kumbukumbu La Torati 31:8

Naye Bwana, yeye ndiye atakayekutangulia, atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha; usiogope wala usifadhaike.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwako Mkuu
Shukran sana
Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
 
Hasira zimenicost mambo mengi kwenye maisha yangu, very short tempered nataman kuacha ila nashndwa ila atleast siku hz naweza kuvumilia kidogo
 
"Joe Fraizer alipigana kwa Hasira aliishia kupigwa na kama isingekuwa refa kukatiza pambano lile baada kugundua Joe Fraizer alikuwa tiyari haoni vizuri mishipa ya ufahamu inayounganisha jicho imekatika sijui ingekuwaje"

UWONGO PAMBANO HALIKUKATIZWA LILIMALIZIKA......Kama unabisha nipe LINK...
 
s
[/QUOTE]
Thanks umenena
 
Nimejifunza Jambo hapa,hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…