Saikolojia: Fahamu tabia ya hasira, madhara yake na namna za kuishinda

mi sina hasira hata chembe hua nna uwamuzi naeza nkakufanyia kitu huku nacheka na nisione tatizo

na ukinikera sana ntakuacha lkn ntakulipizia kwa namna nyingine ambayo hutaijua au kustukia nshawah kumfungia chooni mfanyakazi mwenzangu na hakujua hadi ni nani hadi Leo
Huo sasa utoto
 
Lakini uamuzi huo kichocheo ni hasira
 
Mkuu mimi nikipata hasira na kigugumizi kinakuja kazi inakua kupiga ngumi ukuta, mti au hata naongea na mtu jirani yaani atafurahi kwa makofi mpaka nipate jibu kwenye ubongo hapo nijikinge vip maana wakati fulani nilipiga ngumi ukuta wenye zwge na chupingi weeee moto kweli kweli
 
tabia hiyo inaitwa "acting out" ni aina ya defence mechanism haina tatizo tu ikiwa haitakuletea madhara wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom