Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,889
Huyu mama kweli ni legend. Apewe heshima yako
Hilo umemsingizia. ALikutana na mameneja wapigaji sana hapa mjini, ndio sababu wameua kipaji chake. Diamond alijitahidi kumuinua hapa kati lkn mambo hayakwenda vizuri sanaIla tatizo alikuwa anagawa sana kipochi manyoya
Na wewe alikugawiaIla tatizo alikuwa anagawa sana kipochi manyoya
Kama dadayakoIla tatizo alikuwa anagawa sana kipochi manyoya
Akome kuandika takataka kwenye mambo seriousKama dadayako
Hajielewi huyu, kila mwanamke anagawaAkome kuandika takataka kwenye mambo serious
dah, nimesikitishwa sana na habari hii. mungu amjaalie dada yule, ameniachia kibao kinachoniburudisha mnoTuko naye huku bk, kajichokea ile mbaya
Kwa ubora wa ile NYIMBO huyu mama akustahiri kuishi maisha hayo ile nyimbo ilikuwa utajiri mkubwa kwakeTuko naye huku bk, kajichokea ile mbaya
Naunga mkono hoja.Huyu ni mwanamama shupa vutoka BUKOBA INTERNATIONAL CITY aliyetikisa dunia kwa nyimbo na miondoko yake adimu. Ametuletea heshima kubwa kama taifa. Tafadhali, Universities mtunukuni Honorary Doctorate kuthamini mchango wake.
Wakora waituNaunga mkono hoja.
KasingeWakora waitu
kwa wale watoa mimba maarufu ngoja niwasikilizishe!Wimbo wa kaisiki ulikuwa mtam sana
SUKAH
KabisaAlifanya vyema Sana tusisubuli afariki tumpe heshima yake..
😀 😀 😀 😀 akina bunyero sio? Hapa huwaoniWale wa inama nisafishe mtaro hautawaona hapa watakwambia hana views YouTube
Omwana sofi sio wasaida ni wa maua chenkuraKwa ubora wa ile NYIMBO huyu mama akustahiri kuishi maisha hayo ile nyimbo ilikuwa utajiri mkubwa kwake
Sir elton john mpaka kesho SACRFICE imemfanya aishi ya raha mpk kufanya kufuru
Sasa saidi ndio kabisa nyimbo zake hakuwa na kazi mbovu hata 1
Kuna kale kanyimbo ka said OMWANA SOFI aisee kale kanyimbo bwana dah saida alijua kuimba
Hawa wadada walijua aisee