Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Unapoandika haya ni vema ukatuambia pia juu ya hiyo kampuni iko wapi kwa sasa na inamilikiwa na nani. Kumbuka kuwa RICHMOND ilibadilika ikawa DOWANS nayo ikabadilika ikawa SYMBION POWER ambayo ipo hadi leo na bado inaendelea kulipwa mabillion ya fedha za waTanzania je ni nani anayepokea fedha hizo kwa sasa? vipi kuhusu ESCROW unaweza kueleza lolote ni nani hasa walihusika vipi juu ya KAGODA, MEREMETA ni nani alihusika? pia usisahau kutuambia juu ya upotevu wa zaidi ya billion 250 kupitia ile Wizara aliyokuwa akiiongoza huyo unayemshabikia leo hii.
Unatumia nguvu nyingi mno
Labda nikusaidie
CCM ni mafisadi tangia enzi hizo na hizo kashfa ni cha mtoto, waliofanya ufisadi huo bado wako kwenye system wao au vizazi vyao na wengi wako hai!!!
Fisadi Lowassa naye hali kadhalika ni wa ccm na uchafu ule wote namhusu na anajua kila mmoja anayehusika na mauchafu!
so CCM na Lowassa wanajuana
Kikubwa ni CDM na wewe ambao hamjui lolote kuwaingilia hawa wezi katika kuwasafisha au kuwatetea kwa namna yeyote ile!! unakuwa punguani na hayawani