Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,372
Lisemwalo lipo na kama halipo laja.
Je mmejiandaa.
Tumejianda kuing'oa ccm ila hatujajiandaa kwa udini
Lisemwalo lipo na kama halipo laja.
Je mmejiandaa.
Ni kweli viashiria vipo ndio maana mgombea mmoja aliitwa na kiongozi wa dini mojawapo kuwa ni chaguo la mungu na sikusikia kiongozi yeyote wa dini wala siasa akihoji uhalaliwa kauli kama hiyo.
Lisemwalo lipo na kama halipo laja.
Je mmejiandaa.
Hapo kwenye red pamenivutia coz jamaa wanatumiwa kama toilet paper bila wao kujijua.
well said mkuuHizo dini zinawalevya mmekuwa mazezeta kabsa..
Barubaru........... msomi alieamua kutumia sphincter kufikiri na kutafakariLisemwalo lipo na kama halipo laja.
Je mmejiandaa.
linalosemwa lipo, viashiria vya udini chadema vinaonekana ndio maana wanasema watu wanasema ni chama cha kidini.