mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,915
Huyu dogo anapewa airtime ya kutosha tena kuliko wenzake sijui watu wanatakaje.Unajua watu wanapenda kulia kulia hata pasipostahili! Tena huyu Aslay hapa hapa JF niliwahi kusema watu waache kumvimbisha kichwa... dogo bado sana!! Manake only few weeks ago watu walikuwa wanazungumzia zama za Diamond za mwisho wa Diamond zimefika eti kisa Aslay!!!
Tukauliza hapa ikiwa watu wanafahamu hasa tasnia ya muziki... leo hata miezi 3 haijapita, wanaanza kulia kuhujumiwa wakati nyimbo zinachezwa kama kawaida!
Fiesta alikuwemo, jiwe la mwezi mara mbili bado interview kibao.
Sema yeye amechagua kutafuta public sympath mara barua kwa mama mara nimeanza mziki sina kitu na mengine.
Kama kweli waliibiwa na fella mbona wenzake hawalii kama yeye au alikuwa anaibiwa peke yake.
Tena wenzakd hawapati platform na support kubwa kama nayopewa yeye.