King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,423
- 88,760
Said Fella amejikuta akifichua nia ya January Makamba ya kugombea urais mwaka 2015,amemuhakikishia Salma Jabir kwamba 2015 kijana mwenzao watampa support,yeye (Salma) asubiri ataona.
January ndio chaguo la wengi
Hujakosea, ni chaguo la mataahira wengi.