Kwani huwa unafumba macho, hukosi penalti isipokuwa uwe umefanya makosa ya upigaji.Mapigo ya penati huwa hayana fundi...ukikosa umekosa na ukipata umepata.
Waholanzi wanalijua sana hili
Kwenye ushabiki wa mpira huwezi kukosa hisia tofauti tofauti...