Nasema hawa matajiri wengi huwa hatoi sadaka mpaka waibewe au kuporwa ndio hapo hunena aa a basi nikama leo ndio nimetoa sadaka na hapo haendi hata kutoa taarifa hukaa kimya na anajua akeinda kutoa taarifa polisi basi hapo tena atoi tena mpunga yaani kuengia buri kutoka posho na huyu masikini ataingea gharama ya kwenda kwa mganga wakati kaibiwa kisimu cha mchina na tafafuti na tajiri mamilioni huwa kimya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.