Sahau kuhusu Utajiri kama unafuatisha mifumo

Nimekuja kugundua kwenye hii Dunia hutakiwi kuwa mtepe mtepe, usifuatishe kila kitu kilivyopangwa utaishia kuishi kinyonge sana na Dunia ya Sasa inataka watu wakakamavu, walio serious na maisha haswa,

Labda kama umeridhika na maisha unayoishi lakini kama mawazo yako ni Utajiri au kupata pesa za kutosha basi ni lazima utoke Nje ya mfumo kidogo then ukishavuna unarudi ndani ya mfumo.

Ni lazima uvunje sheria ili kupata pesa, mfumo umeundwa ili kukuweka uwe masikini maisha yako yote na Sheria zinatungwa na matajiri ili kupata utajiri zaidi....Sounds wrong, but so right.

Matajiri wengi wamevuna pesa nje ya mfumo, na baada ya Kuvuna wamerudi ndani ya mfumo, Yani ni kama vile wote tunaenda Morogoro lakini foleni ni kubwa vibaya mno so uamuzi ni wako, upite na Service road uwahi kufika au ubaki Main road uchelewe au usifike kabsa

Na kumbuka anaepita Service road Kuna mawili, akutane na Police mbele huko au Asikutane nae kabisa na hata kama akikutana nae atajua jinsi ya kuchezesha then anarudi highway akiwa kashafika Moro

Caution[emoji3544]

Kuwa Makini na uvunjaji wa sheria utakaoufanya, Sababu Kuvunja sheria ni rahisi kusema au kufanya lakini swali ni kwamba utaweza kukabiliana na matokeo?

Wakina Messi wanakwepa makodi kwenye ma nchi ya watu na badae wanajua jinsi ya kuchezesha,...hiyo ndio Kuvunja sheria na kukabiliana na matokeo, lakini mwisho wa siku kibunda kiko Bank, lakini pia ukivunja sheria in smart way mbona una peta tu

Nasisitiza tena, kuwa Makini, usichukue hatua za kimihemko mara baada ya kusoma huu Uzi, ni lazima udhamilie kweli kweliView attachment 2270690
Uko sahihi mkuu
 
Unamwambiaje tunaeenda nae Moro na yuko ndani ya Bus,,,na Dereva hataki kupita hio Service Road..???

Sasa wengi ni Wanaenda Morogoro,,,lakini wapo ndani ya Bus,,,so akili ya Dereva ndio inawaongoza,,,wao wametulia tu..,,na wana amini wakitoka nje ya Bus watachelewa zaidi.,,,hawafikirii hata kushuka na kuomba Lift kwa wanaopita Service Road...

Ili utoke ndani ya Mfumo inahitaji ukubali kulipa Gharama zote na kukabiliana nazo,,Wengi wamefungwa na mifumo ya UOGA,,,UVIVU,,na mitazamo Hasi,,,,MUHIMU waanze kujitoa humo ndio waingie kwenye mifumo ya Nje..

Msomaji ambaye hujanielewa,,,,Relax,,Jipe Muda,,, Nakuja na Summary hivi punde...
 
Ukisikia code za mafanikio ndo kama hizi

Ishu inakuja unamfungulia nani??!

Wenye akili nyepesi wataamua kuwa wahalifu:- majambazi, vibaka, machangudoa, mashoga n.k. wakiamini wanatoka nje ya mfumo kumbe ndio wanapotea zaidi

Inahitajika akili ya ziada kujua nini mleta maada amemaanisha.
 
Kwani hujui kwamba vitu vyote vile mnavyoita haramu ndio vitamu? Hujui nyingi ya biashara zile mnazoita haramu ndio zenye faida tele na utajiri wa haraka? Akili kichwani mwako!
 
Uzi bora na una ukweli mtupu

Matajiri wengi wamevunja sheria

Mpaka wamepata pesa hiyo halipingiki...

Kwenye maisha faulo lazima ucheze

Ila unapocheza lazima ucheze kwa step

Ova
 
Uzi bora na una ukweli mtupu

Matajiri wengi wamevunja sheria

Mpaka wamepata pesa hiyo halipingiki...

Kwenye maisha faulo lazima ucheze

Ila unapocheza lazima ucheze kwa step

Ova
Biligeti amevunja sheria ipi
 
Biligeti amevunja sheria ipi
Syo mpaka bill gate
Hata bongo wapo matajiri wengi sahv
Na walivunja sana sheria.....
Wengine walikuwa wwanatutumikisha
Sahv wametulia tu
Na kama ukitoka Burundi,Shuja kigoma hapo kuna tajiri mmja kitambo
Kaiba sana kwenye mabehewa,ya train mpaka badaye akawa tajiri
Wapo matajiri sahv wazee wao piga sana pembe za ndovu....
Wapo matajiri sahv wao zamani fanya sana magendo mipakani....
Walipata pesa,wakaingia hadi kwenye siasa
Maisha,dunia ni uwanja wa vita

Ova
 
Ukisikia code za mafanikio ndo kama hizi

Ishu inakuja unamfungulia nani??!

Wenye akili nyepesi wataamua kuwa wahalifu:- majambazi, vibaka, machangudoa, mashoga n.k. wakiamini wanatoka nje ya mfumo kumbe ndio wanapotea zaidi

Inahitajika akili ya ziada kujua nini mleta maada amemaanisha.
Bila shaka inahitaji kuelewa kwa umakini sana.
 
Nimekuja kugundua kwenye hii Dunia hutakiwi kuwa mtepe mtepe, usifuatishe kila kitu kilivyopangwa utaishia kuishi kinyonge sana na Dunia ya Sasa inataka watu wakakamavu, walio serious na maisha haswa,

Labda kama umeridhika na maisha unayoishi lakini kama mawazo yako ni Utajiri au kupata pesa za kutosha basi ni lazima utoke Nje ya mfumo kidogo then ukishavuna unarudi ndani ya mfumo.

Ni lazima uvunje sheria ili kupata pesa, mfumo umeundwa ili kukuweka uwe masikini maisha yako yote na Sheria zinatungwa na matajiri ili kupata utajiri zaidi....Sounds wrong, but so right.

Matajiri wengi wamevuna pesa nje ya mfumo, na baada ya Kuvuna wamerudi ndani ya mfumo, Yani ni kama vile wote tunaenda Morogoro lakini foleni ni kubwa vibaya mno so uamuzi ni wako, upite na Service road uwahi kufika au ubaki Main road uchelewe au usifike kabsa

Na kumbuka anaepita Service road Kuna mawili, akutane na Police mbele huko au Asikutane nae kabisa na hata kama akikutana nae atajua jinsi ya kuchezesha then anarudi highway akiwa kashafika Moro

Caution[emoji3544]

Kuwa Makini na uvunjaji wa sheria utakaoufanya, Sababu Kuvunja sheria ni rahisi kusema au kufanya lakini swali ni kwamba utaweza kukabiliana na matokeo?

Wakina Messi wanakwepa makodi kwenye ma nchi ya watu na badae wanajua jinsi ya kuchezesha,...hiyo ndio Kuvunja sheria na kukabiliana na matokeo, lakini mwisho wa siku kibunda kiko Bank, lakini pia ukivunja sheria in smart way mbona una peta tu

Nasisitiza tena, kuwa Makini, usichukue hatua za kimihemko mara baada ya kusoma huu Uzi, ni lazima udhamilie kweli kweliView attachment 2270690

Kupata mali kwa kufuata mfumo inahitaji jitihada, uvumilivu na imani pia.

Kwa kupata utajiri kwa haraka (nje ya mfumo ambao upo kinyume na haki, imani za dini) kwa watu wengi nimengundua mambo haya yafuatayo,
kupata utajiri inabidi uwe na moja ya ama yote yafuatayo;​
  1. Kuwa Jizi​
  2. Kuwa mshirikina​
  3. Kuwa dhulumati​
  4. kuwa jizi, mshirikina na dhulumati .​
Haya yote apo juu yana malipo yake pia.
 
Huo ndo ukweli kubali ukatae,

Haya Maisha ili utimize malengo yako hasa ya kuishi huru kiuchumi ni LAZIMA kutake RISK ila tu ukubali matokeo yake, manake si jambo la kizembe hata kidogo.

Mungu akijaalia siku moja nami nitakuja hapa kuanzisha uzi kuelezea mambo nilizokutana nazo katika harakati za kujikomboa kiuchumi, manake tangu nimeanza harakati zangu za kutake risk, mzee asikwambie mtu consequence zake ni balaa kama huna roho ngumu lazima urudishe mpira kwa kipa aiseee.

Ila yote kwa yote Mungu ni Mwema, kikubwa ukiwa na wazo ukaliamini kutoka ndani stage ya pili ni kulifanyia utafiti kwa kina, stage ya tatu na muhimu baada ya kufanya utafiti wa kina kama bado utabaki na Imani uliyokuwa nayo awali kuwa lazima utafanikiwa kwa kulifnya jambo Fulani hakika nakwambia lifanye na uwe tayari kujifunza (manake usitegemee matokeo chanya bali tegemea lolote laweza kutokea).
 
Ikiwezekana punguza hata watu duniani ila sasa Bahati mbaya zaid ni kuwa siku polisi wanakuja kukuchukua huwa wanakuchukua kama vile wanamaongezi na wewe dakika 10 tu alafu wnakuachia ila kitachoenda kukukuta huko unaweza kuchezea miaka hata 9 mahabusu kabla ya kifungo rasmi
 
Nimekuja kugundua kwenye hii Dunia hutakiwi kuwa mtepe mtepe, usifuatishe kila kitu kilivyopangwa utaishia kuishi kinyonge sana na Dunia ya Sasa inataka watu wakakamavu, walio serious na maisha haswa,

Labda kama umeridhika na maisha unayoishi lakini kama mawazo yako ni Utajiri au kupata pesa za kutosha basi ni lazima utoke Nje ya mfumo kidogo then ukishavuna unarudi ndani ya mfumo.

Ni lazima uvunje sheria ili kupata pesa, mfumo umeundwa ili kukuweka uwe masikini maisha yako yote na Sheria zinatungwa na matajiri ili kupata utajiri zaidi....Sounds wrong, but so right.

Matajiri wengi wamevuna pesa nje ya mfumo, na baada ya Kuvuna wamerudi ndani ya mfumo, Yani ni kama vile wote tunaenda Morogoro lakini foleni ni kubwa vibaya mno so uamuzi ni wako, upite na Service road uwahi kufika au ubaki Main road uchelewe au usifike kabsa

Na kumbuka anaepita Service road Kuna mawili, akutane na Police mbele huko au Asikutane nae kabisa na hata kama akikutana nae atajua jinsi ya kuchezesha then anarudi highway akiwa kashafika Moro

Caution[emoji3544]

Kuwa Makini na uvunjaji wa sheria utakaoufanya, Sababu Kuvunja sheria ni rahisi kusema au kufanya lakini swali ni kwamba utaweza kukabiliana na matokeo?

Wakina Messi wanakwepa makodi kwenye ma nchi ya watu na badae wanajua jinsi ya kuchezesha,...hiyo ndio Kuvunja sheria na kukabiliana na matokeo, lakini mwisho wa siku kibunda kiko Bank, lakini pia ukivunja sheria in smart way mbona una peta tu

Nasisitiza tena, kuwa Makini, usichukue hatua za kimihemko mara baada ya kusoma huu Uzi, ni lazima udhamilie kweli kweliView attachment 2270690
Hata nchi super power za ulaya na America kufika hapo zilipo zilifanya primitive accumulation of capital ie slavery plundering and piracy baada ya kutajilika na kupata industrial revolution ndo zikaanza kupinga utumwa na ukoloni ili kujita civilised nations

Kwa Tanzania kua super power lazima tufanye primitive accumulation kwa namna yoyote kwanza eg kwanini tusiwekeze katika jeshi letu liwe imara tuvamie Congo DRC tu pore dhahabu uranium nk, tuvamie Kenya to destroye their industral hub to jenge ya kwetu wawe dependant kwetu. Kua na jeshi bila kulishuglisha kwenye uchumi tutakufa kwenye abject poverty, imagine inchi kama Rwanda na Burundi kwanini zisiwe aridhi ya Tz, hatutakua super power bila kurisk primitive accumulation of capital.
 
Back
Top Bottom